Mkuu funguka zaidi, ni vipi yamechangia kumuua ?Hayo mafuta ukiyatia mdomoni hata kidogo tu ni balaa, yamemuaa mdogo wa mke wangu.
Kwamaana ya kupaka au kunywa?Mwili hauna uwezo wa kuvimeng'enya zile chemical zilizopo brake fluid
Kwa kuyapaka au kunywa?Yanaua Figo na ini.
Kupaka na kunywa vyote madhara sawa sababu vinavyonzwa mwiliiKwa kuyapaka au kunywa?