Madhara na faida za kujisajili mtandaoni

Madhara na faida za kujisajili mtandaoni

MR SALMIN

Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
9
Reaction score
5
Je, ulishawahi kutapeliwa na kampuni iliyosajiliwa!?

Taasisi nyingi za kiserikali na binafsi kwa sasa husajili vitu vingi online ili kurahisisha na kuongeza ufanisi.
Mfano TRA na BRELA.

TRA huweza kusajili TIN no. Bure mtandaoni na BRELA ukasajili kampuni mtandaoni.

Hiii imesaidia vitu vingi sana ikiwemo...
i)kupunguza msongamono katika ofisi
ii)kuokoa muda na fedha za usafiri kwenda katika ofisi za taasisi husika.
iii)Kuongezeka kwa usajili....
Na nyinginezo nyingi sanaaaa


Ila huu mfumo umewawekea mwanya matapeli...
Sasa matapeli wengi hutumia mifumo hii kusajili kampuni na kuwaaminisha raia kuwa ni kampuni salama inayotambulika, kisha hufanya utapeli na kuitelekeza kampuni.

USHAURI KWA MAMLAKA HUSIKA
kuongeza udhibiti wa ufuatiliaji kila kampuni mpya inavyojiendesha, na kufuatilia madhumuni ya hizo kampuni...
 
Back
Top Bottom