Habari za jioni waungwana.B
Shemeji yenu ni mjamzito wiki 39 sasa na vimefanyika vipimo vya ultrasound vimeonyesha mtoto ana uzito upatao 3.9 Kg na kwa sababu hiyo DR kashauri afanyiwe labour induction vinginevyo mtoto akizidi kukaa uzito utazidi kuongezeka na normal delivery itakuwa haiwezekani tena.NIna option 2,ya kwanza ni kufanya labour induction na kusubiri chance ya normal delivery na ya pili ni kusubri mpaka uchungu wa kawaida utakapompata then akafanyiwe upasuaji(assuming itakuwa late na uzito utakuwa umepanda beyond 4 kg) Wataalam na wazoefu naombeni ushauri wenu tafadhari.