habari zenu wana jf,naomba mnisaidie haya mambo
1.ni zipi faida na hasara za kufanya mapenzi na mwanamke aliye na ujauzito.?
2.ni matatizo gani waweza pata ukifanya mapenzi na mwanamke aliye kwenye siku zake?
*NAHITAJI MSAADA UTANI BADAE* Punguzeni maneno makali wanajf asanteni!