Madhara:ni kuku wa kisasa tena,wanaokula wanawake kuota ndevu,waume matiti nakansa

Madhara:ni kuku wa kisasa tena,wanaokula wanawake kuota ndevu,waume matiti nakansa

papaa masikini

Senior Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
176
Reaction score
69
Kwa taarifa ambazo leo zimepamba magazeti lukuki,kuhusiana na Kuku wakisasa wanavyosababisha Kansa,na kuwa na homorne zinazosababisha Wanawake kuota ndevu,ugumba na Wanaume kuota matiti nk.
Matumizi ya vyakula ambavyo vinasindikwa/vinatengenezwa na binadamu(man made) ambavyo vimekuwa vikitumika kwa wingi sana kwenye jamii zetu VIMEKUWA VIKILETA SANA ADHARI ZA KIAFYA KWA WATUMIAJI.
Hakuna asiyejua madhara ya (GMO)"Genetically Modification Organism"
Viko vyakula vingi,ila wameona kuku tu ila itakuwa ndo mfano hai Pia zipo SODA.
Chukua hatua.
 
Unaweza kukata kipande cha hiyo habari na kutuma humu?
 
ndo maana miaka ya karibuni magonjwa kama kansa imekuwa kawaida, turudi kwenye asili yetu
 
wale wa ukinga rudini kula delega na ugali wa ngano ya kienyeji,wabena rudini kula mayao na tetere na numbu kwa sana,wahehe rejeeni kula kambwa,.... Wanyakyusa tandikeni mafufu, wacheni kupenda chips kina dada zinatoa vitambi, wasukuma michembe na matabolwa sasa hv mmeona havina maana mnataka barger..... Wangoni wazee wa mandondo,mboga ya serikali..... Mpooo?.
 
Hili swala liko npen kabisa yaani vifaranga wanakuzwa ndani ya wiki nne na kuwa kuku mzima what do you expect lets be care bora nibaki na nyama na maziwa kama kawaida yetu.
wale wa ukinga rudini kula delega na ugali wa ngano ya kienyeji,wabena rudini kula mayao na tetere na numbu kwa sana,wahehe rejeeni kula kambwa,.... Wanyakyusa tandikeni mafufu, wacheni kupenda chips kina dada zinatoa vitambi, wasukuma michembe na matabolwa sasa hv mmeona havina maana mnataka barger..... Wangoni wazee wa mandondo,mboga ya serikali..... Mpooo?.
 
wale wa ukinga rudini kula delega na ugali wa ngano ya kienyeji,wabena rudini kula mayao na tetere na numbu kwa sana,wahehe rejeeni kula kambwa,.... Wanyakyusa tandikeni mafufu, wacheni kupenda chips kina dada zinatoa vitambi, wasukuma michembe na matabolwa sasa hv mmeona havina maana mnataka barger..... Wangoni wazee wa mandondo,mboga ya serikali..... Mpooo?.

Kiongozi no comment
 
hivi soda nayo ni genetically modified bevarage.....make mi ni najua togwa ndo asili....
 
Je maembe yanayozaliwa kwa miaka miwili na nusu tangu kupandwa kwake na hayo machungwa, je na hiyo pia tusile?
 
Kwa kweli hali siyo nzuri kihivyo kwani wengi wetu tumeacha asili yetu na kuifuata mambo ya kizungu na ndiyo inatugharimu kwa sasa na bado itatugharimu sana kwani hakika kwenye mambo ya asili tumepoteza mwelekeo full-------------na ukiangalia kauli hii iliyopo kwenye vizazi vyetu leo na wanasema hivi "TUPO KWENYE KARNE YA SAYANSI NA TEKE LINALOKUJIA"
 
Back
Top Bottom