Madhara nitakayo pata kama nitachelewa kuripoti chuo

Joined
Aug 29, 2014
Posts
91
Reaction score
3
wana jamvi..habari zenuu, naomba mnijuze ..je ikatokea ukachelewa kuripoti chuo ulicho pangiwa mathalani .Udsm au Udom, yapi madhara yatakayo kupata? ahsanteni na karibuni mchangie .
 
Kuna mengi yatakayokupata kama mgeni.. Mbali na usumbufu wa registration, venue za vipindi nazo zitakusumbua..

Kumbuka na karaha za kupata boom pia kwa wachelewjaji zipo..
 
Hapo kwenye karaha za kupata boom dadavua.
 
Hostels,,,,,,unaweza ukakosa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wana jamvi..habari zenuu, naomba mnijuze ..je ikatokea ukachelewa kuripoti chuo ulicho pangiwa mathalani .Udsm au Udom, yapi madhara yatakayo kupata? ahsanteni na karibuni mchangie .

Kwani madhara yapi yanayoweza kukupata ukichelewa kwenda chooni?
Acha uzembe dogo, wahi chuo!
 
Back
Top Bottom