miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
View attachment 133759 fanya mambo sasa
nishampa anachohitaji...we angalia kwa mbaaaaaaaaaaaali
Amarula ni kilevi,hata mbege ina kilevi hakuna chenye unafuu hapo,maji na juice kwa mjamzito nadhani ni vinywaji tosha na juice ikiwa fresh ni nzuri zaidi,mbege unywe ukishajifungua ili kusaidia maziwa kutoka kwa wingi na sio sasa!
kila jumapili sarafina bar kaloleni, inatokea huko huko kisongo, bonge ya mbege! na ndio anapeleka pia milestone.
Mjamzito halafu bado unaendekeza pombe? Tobaa
kumbe tunakutana hapo ukichelewa hapati pembeni mnyama wa kuchoma
kumbe tunakutana hapo ukichelewa hapati pembeni mnyama wa kuchoma
hiyo gari ukipanda lazima umzae Obama...shauri yakohuyo mtoto nitake mzaa atakuwa na kelel sana hiyo gari duh sitaki
mbege mjini inapatikana sasaa? kuna sehem moja kisongo kule inapatikana ya uhakika ila matajiri ndipo wanakimbilia hata ukienda hupati unarud kapa.
hiyo gari ukipanda lazima umzae Obama...shauri yako
embu niache bwana sitaki
Maji na maziwa yatakufaa sana katika kipindi hiki.ni sawa lakinii nnachotaka mimi angalao kujua bas vinywaj ambavyo vinafaa during pregnancy..achilia mbali misoda