Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe madhara ya Bangi kwani wengine wanasema ni dawa
Tukupe? we nani mbaka upewe?? sema naomba kufahamu..nyama we
Naomba kufahamu madhara ya Bangi kwani wengine wanasema ni dawa na mi natumia
Subiri mkuu Madhara yake utayaona baadae sio sasa wakati utakapoumwa au kushauriwa na Daktari uache ndio hapo Madhara yatakuwa yameshakuingia BAGAHtangu nimeanza kutumia sijapata MADHARA.!
https://www.jamiiforums.com/jamii-i...-and-illuminati-the-marijuana-conspiracy.htmltangu nimeanza kutumia sijapata MADHARA.!
mzizi mkavu ulikutana na hiiSubiri mkuu Madhara yake utayaona baadae sio sasa wakati utakapoumwa au kushauriwa na Daktari uache ndio hapo Madhara yatakuwa yameshakuingia BAGAH
kwa maana hiyo basi wengi wetu tumeshakula sana bangi kwakutokujua eeeeeeeeeeebangi ni majani yaliyokaushwa ya mmea ujulikanao kitaalamu kama canabis sativa na mwingine ujulikanao kama canabis indica. bangi ina majina meeeengi kutokana na maeneo inakotumika, marijuana, hashish, na mengineyo
kemikali iliyo ndani ya bangi hujulikana kama delta-9-tetrahydrocannabinol kwa kifupi (Δ9-THC). kiasi kidogo kabisa kinachoweza kusababisha effect mwilini mwako ni kuanzia microgram 10 kwa kila kilo ya uzito wako...
baadhi ya matumizi ya bangi kiafya ni pamoja na;
hutumika kwenye dawa za kutuliza kikohozi na kichefuchefu,
pia inatumika kwenye dawa za glaucoma (presha kwenye macho)
Marihuana pia hutumika kupunguza maumivu kwa wagonjwa wa kansa na ukimwi walio kwenye hatua ya mwisho
madhara ya bangi ni: euforia(kujisikia haireee), midomo kukauka, heat sensation, mapigo ya moyo kuongezeka........ etc
ngoja nikomeee hapo kwa sasa