Madhara ya chumvi nyingi ni yapi?

Thinker2

Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Wana Jf naomba ushauri,mi tatizo langu ni kutumia chumvi nyingi kuliko kawaida yaani msosi ukifika mezani naongezea kabla ya kuonja...!?.Bila shaka ingekuwepo tuzo ya watumiaji chumvi ningechukua Afrika mashariki na kati,Record niliyoiweka nilikuwa naweka chumvi kwenye chapati za kusuma mezani...!?
Naomba nijue madhara na jinsi ya kuacha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…