Madhara ya Covid-19: Club za Uchina bila wageni ni Utopolo FC tu

Madhara ya Covid-19: Club za Uchina bila wageni ni Utopolo FC tu

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
IMG_20210629_212422.jpg
tulizoea sana hizi timu zikivunja rekodi kwenye usajili. Baada ya hali mbaya kiuchumi kupitia makampuni ya udhamini wachezaji woooote wa kigeni wameondoka.

Angalia kipigo zinavyopokea kwa sasa.
 
Hivi kumbe kiba talisca wamesepa ndo mana wamekua nyanya kweli
 
Back
Top Bottom