Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,293 Jun 29, 2021 #1 tulizoea sana hizi timu zikivunja rekodi kwenye usajili. Baada ya hali mbaya kiuchumi kupitia makampuni ya udhamini wachezaji woooote wa kigeni wameondoka. Angalia kipigo zinavyopokea kwa sasa.
tulizoea sana hizi timu zikivunja rekodi kwenye usajili. Baada ya hali mbaya kiuchumi kupitia makampuni ya udhamini wachezaji woooote wa kigeni wameondoka. Angalia kipigo zinavyopokea kwa sasa.
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,015 Jun 30, 2021 #2 Halali yao wacha wanyooshwe bado na Australia
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Jun 30, 2021 #3 Wachina mpira bado.
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,658 Reaction score 8,994 Jun 30, 2021 #4 Hivi kumbe kiba talisca wamesepa ndo mana wamekua nyanya kweli
Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,293 Jun 30, 2021 Thread starter #5 BAK said: Wachina mpira bado. Click to expand... Bado saaaana yan walikuwa wanaonea sana vinchi kama Thailand ila kwa sasa wanapigwa hadi na vibonde
BAK said: Wachina mpira bado. Click to expand... Bado saaaana yan walikuwa wanaonea sana vinchi kama Thailand ila kwa sasa wanapigwa hadi na vibonde
Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,293 Jun 30, 2021 Thread starter #6 mtzmweusi said: Hivi kumbe kiba talisca wamesepa ndo mana wamekua nyanya kweli Click to expand... Wote wamerudi Brazil kwao
mtzmweusi said: Hivi kumbe kiba talisca wamesepa ndo mana wamekua nyanya kweli Click to expand... Wote wamerudi Brazil kwao
Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,293 Jun 30, 2021 Thread starter #7 ChamasonMorisonBwalyason said: Halali yao wacha wanyooshwe bado na Australia Click to expand... Lakin Australia hawatumii sana pesa nyingi kwenye usajili
ChamasonMorisonBwalyason said: Halali yao wacha wanyooshwe bado na Australia Click to expand... Lakin Australia hawatumii sana pesa nyingi kwenye usajili