madhara ya CT scan ya kiuno

madhara ya CT scan ya kiuno

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2010
Posts
230
Reaction score
57
nina rafiki yangu,alipata ajali mwezi wa 2.katika matibabu yake alitakiwa kupata picha ya kiuno(CT scan).
Hofu imebaki nae akiogopa kwamba process hiyo inaweza ikawa imemshushia sex efficiency yake.mpaka leo hajakutana kimwili na mpenzi wake kwa kisingizio cha ugonjwa.
Nawasilisha kwenu wataalamu mmsaidie rafiki yangu.
 
Hiyo hutokezea kwa muda tu. Atarudia as usual soon.
 
Back
Top Bottom