Madhara ya cunninglus

Tonge

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
695
Reaction score
12
Wanajf, napenda niwape adhari za kufanya oral sex kwa wanaume na wanawake, kuna baadhi ya wapenzi hupenda kunyonyana sehemu za siri aidha uumeni au ukeni na wengine huenda mbali zaidi na kunyonya tigo,sasa nawapa tahadhali kuwa nimepata mgonjwa ambao amekohoa kwa muda wa miezi mitatu na katumia dawa kibao na kupima tb lakini wapi, alipokuja kwangu nikafanya sputum culture na kuota wadudu aina ya e.coli ambao hukaa sana sehemu za siri(normal flora) sio mdomoni na hao ndio waliokuwa wanamletea kikohozi ambacho kilifanya pafu lake moja kucollapse.napenda mtambue hili kuwa ukinyonya utawachukua hao wadudu wakiwepo candida au fungus wabaya ambao ni wagumu kupona.mapenzi tufanye ila kila kiungo kina kazi yake, sio mkono au ulimi kupelekwa sehemu za siri.tafadhali
 
Shida watu hupiga finger kaka au wengine huita kupima oil, hii ni hatari kwa uke na afya ya mume kwani baada ya muda anaweza kula kitu bila kula na wengine eti huramba, daa kweli mapenzi uchafu.:biggrin1:
 
Dr. Ulijuaje kuwa hao wadudu amepapata kutokana na kufanya mapenzi kwa kutumia mdomo? Case moja inaweza kuwa udhibitisho wa hiyo conclusion yako? naomba kuwasilisha
 
Mi si mtumizi wa viungo na maeneo hayo uliyotanabaisha, lakini nashauri labda ufanyike uchunguzi zaidi juu ya huu ugunduzi wako. Hii inatokana na idadi kubwa sana ya watu kufanya mapenzi kwa kuhusisha maeneo hayo...Lakini uchafu/usafi wa mwanamke ni factor kubwa sana katika kudhibiti hili...
 
Dr. Ulijuaje kuwa hao wadudu amepapata kutokana na kufanya mapenzi kwa kutumia mdomo? Case moja inaweza kuwa udhibitisho wa hiyo conclusion yako? naomba kuwasilisha

Uzuri wa ma dr tunawauliza wagonjwa wetu maswali mengi, na yeye alikiri kuwa mama hajaona raha ya mapenzi mpaka amnyonywe na pia E. coli wa kwenye genital unaweza kuwaidentify wanapokuwa wamegrow kwenye agar (chakula cha bacteria) na pia kina biochemical test za kuwagundua na hizo tulizifanya na kuconclude kuwa walikuwa wanatoka kwenye sehemu za siri hasa rectum.Nakushauri kama u mmoja wapo acha kabisa, hata mpenzi wako aoshe hizo sehemu kwa dettol bado ni hatari.ACHAAA.
 
Huyo mgonjwa wako labda alikuwa anakula sio kulamaba!!!
Mpaka ameze e.coli wakutosha kumletea madhara?? kwanza atakuwa amekula mavi kilo ngapi? E.coli wanapatikana in human gut na uwepo wake nje ya human gut indication yake ipo kwenye fical test.
Mi naona unataka tu-discuss issue ambaya ni 1 in 10,000,000,000 cases hapa, japo siamini kabisa kwenye kitu ulichosema!
 
Doctor Tonge nadhani unataka kupotosha watu tu cunninglus haina madhara kwani bakteria wa E.coli wanapatikana kwenye mazingila mengi tu sio kwenye K** peke yake.E.coli are commonly found in lower intestine and majority are harmless.

Ukitaka kwenda chumvini " cunninglus " lazima upitishe mrembo asafishe kwa maji yenye vinegar halafu mambo yanaaanza
 

Uko sawa kabisa Paka, ila tambua wapo watanzania wanaolala bila chandarua lakini bado hawaugui malaria, kwa hili ni watu wachache ambao huweza kukumbwa na hili tatizo na wengine bado wanaumwa na wengine wamepona au kurudiwa mara kwa mara la kikohozi kila wakitumia dawa.Tunatoa TAHADHALI TU KWANI UKIONA YUPO MTU ANAUGUA NA KUGUNDUA AMEADHIRIKA NA KITU TENA AMBACHO WENGI HUTUMIA NI VEMA KUATADHARISHA ILI AIDHA USAFI UWEPO NA KITENDO KIFANYIKE KWA ENEO MAALUMU SIO MPAKA KWA KINYEO.HAPA NI TIPS YA KUFANYA CUNNINGLUS,NA TAGET NI CLITORIS NA PENILE. Usafi ni kitu muhimu sana.

To understand her physical needs, you need to understand her most sensitive area. The clitoris has more sensitive nerve endings in one pea sized area than a woman entire genital area. Compared to you, your woman only needs microscopic movement and light touch to feel good stimulation. This is because of the extreme sensitivity of her clitoris and why you and she have such varied needs while getting oral sex. The problem is that most men do what they think would feel good for them, which is very varied from what women need. The lack of understanding leads to very common mistakes men make when learning how to perform oral sex on a woman
 
Mhhh haya sasa mambo hayo wale wanaopenda kuingia chumvini mtakoma mtiiniu Mungu.

Dr. naomba ufafanuzi wa cunninglus ni bacteria au fungus au nini nini hasa, nieleweshe wanakaa wapi wana kazi gani mwilini na kwanini wanamadhara wanapokuwa mdomoni. Nikielewa nitaandikia makala au stori tuelimishe watu.

Regards
Journalist of JF
 
Mkuu Tonge shauri yako.......wenzio watakunyonyea...ngoja shemeji awasimulie kuwa wewe huwezi
 

Neno 'Cunnilingus' parse ni mtindo wa kufanya matendo aliyoyaorodhesha mleta mada, na si bacteria au fungus!
 


Sijui kama unaelewa maana ya normal flora, E.coli ni normal flora yaani huishi kwenye rectum au colon bila madhara, lakini punde E.coli wanapokuwa kwenye buccal, pharynx au larynx ambako kuna different PH na cells(receptors) huwa hamfull na kuanza kuaffect squamous cells na kusababisha madhara kama kikohozi na mengineyo. Biology pana mkulu kama hujala mkate wa vines and rees huwezi jua ila habari ndio hio.Kaka vinegar ni acid je huoni kuwa utauchubua huo uke na ni mara ngapi unafanya huo usafi bana na jasho la mji huu, kabla ya kunyonya tu jasho kibao.Tusijidanganye tuwe makini mazee.
 
hata mkono jamani, sasa mnafanyaje mapenzi?....
 
Dr.Tonge,shukran kwa taarifa.Hata hivyo umeacha loop holes nyingi za kitaalam kwenye hii info yako.

Ili kutoa tahadhari au kukataza watu for a medical benefit inatakiwa info ikae vema katika

epidemiology,statistics na EBM(evidence based medicine)

Wakuu,hii habari ipo na imefanyiwa study,ni vema kujipa tahadhari.


source
 

kwa hiyo unanishauri niendelee kuzama chumvini na kule kusini ya mbali?
 
source

Dah..HPV waki harbor kwenye throat inakuwa noma sana
 

Brigita kama wewe ni demu nakuuliza ushanyonywa? Na sasa kama unataka uone jinsi gani binadamu walivyovichaa kuliko vichaa unaowaona wanaokota makopo ni pale mtu mzimaaa anaponyonya ****** tena huloanisha kwa mate kibao, je huyo unataraji asipate E.coli kweli?, kingine unawaamnini wanawake kwenye usafi wa sehemu zao za siri? Naamni most of them hawajui jinsi ya kufanya usafi, huchamba kutoka nyuma kwenda mbele au nyuma mbele, badala ya mbele kwenda nyuma, jeeeeeeeee? Tatizo la UTI linazidi siku hadi siku kweli si kweli? Tuelimishane kwenye usafi wa Ikulu bana.
 



Nashukuru kuwa nawe umeelewa mkulu, mi nimeanzisha tu hii ishu ili wengine walete experience zao kuhusu oral sex, na nimetoa mfano halisi si wa kubuni hata kidogo.Kuna madhara mengi ya oral sex ni vema tulitambue hilo kwa ujuml, unafahamu oral candidiasis ambao huweza toka kwenye uke kama vaginal candidiasis? hawa ni noma wakienda mpaka kwenye lungs huleta Pneumonia carinii amabayo haiponi kirahisi na huleta kifo fasta.Hatariiiii.
 
At least basi iwe inafanywa point moja jamani (nyumbani). Kuna mtu hapa aliwahi kutueleza aliokota changudoa akazama chumvini,kumbe kuna madawa akalala moja kwa moja akaibiwa kila kitu. Unaonyesha ufundi unapata madhara, na huwezi ku guarantee usafi wa mhusika, at least mkeo/mmeo unamjua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…