Madhara ya damu isiyo na hatia, katika uongozi ardhi na familia na uchumi

Damu hii imebeba uhai na vinasaba vyake.. Haina na hawezi kuwa na mbadala
 
Nakuamini sana
Kuna mwaka uliwaasa askari juu ya mambo haya hawakukusikia mwisho wa siku ofisi yao ikaangukiwa na mnara wa simu sikumbuki ni sehemu gani Dar ila yaliwatokea, maisha yangu yote sijawahi sikia mnara wa simu umeanguka, jiulize kulitokea nini mabolt yote yale yakatike kwa mpigo
 
naamini hata hii damu anayomwaga israeli kwa watu wasio na hatia kule palestina itaigharimu taifa hilo teule ki mchongo...probably Hitler mwingine yu njiani kuja kula vichwa pomoni vya kizayuni kulipa hii damu ya mpalestina
 
Mtu hajitubishi mwenyewe, hata ukitubu kikombe chako utakinywea tu
 
Hicho kilipandwa na Baba yake, dogo akamkimbiza mzee kwenye kiti cha ufalme
 
Ndio, damu inalipwa kwa damu mkuu
 
Mtu hajitubishi mwenyewe, hata ukitubu kikombe chako utakinywea tu
Yapo mazingira ambayo mtu aweza tubu pekeake na TOBA yake ikapokelewa,

Ktk Ajali mbaya ambapo uwezekano wa kuokoa NAFSI haupo, nk nk.

Mungu Hana limits ktk utendaji KAZI wake.

Online kama hivi ,pia Mungu aweza sikia TOBA ya mtu na kumuokoa.

Ubarikiwe 🙏
 
Asanteni sana🙏🏿🙏🏿❤❤❤
 
 
Nimeukubali huu uzi
 
Samahani kaka naomba kujua vizuri vipi kama ni nyumba niliamia mpya na ilo eneo mwanzoni lilikuwa nzuri ila baada ya miaka nyufa zikatokea sebuleni na mijusi ikaanza kuja ni baada ya kama miaka miwili je nayo inahusiana? Mana kiuhalisia nyumba ilijengwa eneo lililokuwa bonde/msitu mwanzo pakajanzwa udongo asili ya udongo ni huu wa ukanda wa kimara na mbezi. Asante
 
Na vipi kama nikiwq naidhibiti mijusi kwa kuiua je ina athari yoyote kwangu na ni mijusi ya aina gani hasa ya kuepuka Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…