Madhara ya dawa ya kuzuia mimba P2

Ooh okay, thanks mwaya.

Kwa hiyo baada ya siku tatu kupita inabidi zoezi jingine mbadala lifanyike, right...?.

Haya mambo haya aisee.
Zoezi gani mbadala KIOO zaeni tu
 
Binafsi nikitaka kujua madhara ya kitu au jambo fulani kiafya ama kimaisha ni lazima nilipime hilo jambo ama hicho kitu kwa kulinganisha na Asili ya Mungu . Nikibaini kuna ukinzani basi nakuwa nimepata jibu wala hakuna haja ya kuwauliza wataalamu ama watu wengine.
 
Madhara yapo tena makubwa bt inategemea na mwili wa mtu, huwa inasababisha overbleeding, amenorrhea (kutopata hedhi) na kubwa zaidi ni hormonal imbalance. Sishauri mtu atumie.
Natumaini wote wazima humu na kama kuna mwenye tatizo basi mwenyezi MUNGU amfanyie wepesi.
Naomba msaada wenu kujua kama kuna madhara yoyote kwa mwanamke anaetumia dawa za kuzuia mimba P2.
 
Wale wa P2 sasa🤣🤣🤣[emoji1542]
 
Kuna ex wangu nilikuwa nampa hayo madonge hadi yakazoea tumbo lake.
 
Tahadhari ya kuepuka mimba ni kubwa kuliko tahadhari ya kuepuka maambukizi ya HIV,

Hivi hii imekaaje wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…