Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 380
Thanx,Kuna mtu wangu alipelekwa theatre kama wiki 2 zilizopita lakini analalamika hajielewi elewi yani kama mtu ambae amelewa hivi je itakua ni sababu ya hii dawa au ?Kichwa kuuma sana hvyo ni vyema akitoka msimuongeleshe sana apate muda wa kupumzika
Kuna wengine hupata kichefuchefu na hutapika kbs
Kizunguzungu baada ya cku kadhaaa
Kuna hali flan km ya kikoozi Bc unajikuta unakohoa (kubanja)na maumivu ya mshono Weee acha tu
Mgongo kuuma km utapewa ile ya nusu acha kbs mgongo unapasua km mbao
Cha kufanya ukitoka theater pumzika vya kutosha lala kbs usiongee na mtu kwa takribani saa 24 ukiamka apo walau kdg unaweza anza kuongea.otherwise itakuletea maumivu mno y kichwa
Nakumbuka kile kifua, maumivu ya mshono na mgongo.....acha kabisa.Kichwa kuuma sana hvyo ni vyema akitoka msimuongeleshe sana apate muda wa kupumzika
Kuna wengine hupata kichefuchefu na hutapika kbs
Kizunguzungu baada ya cku kadhaaa
Kuna hali flan km ya kikoozi Bc unajikuta unakohoa (kubanja)na maumivu ya mshono Weee acha tu
Mgongo kuuma km utapewa ile ya nusu acha kbs mgongo unapasua km mbao
Cha kufanya ukitoka theater pumzika vya kutosha lala kbs usiongee na mtu kwa takribani saa 24 ukiamka apo walau kdg unaweza anza kuongea.otherwise itakuletea maumivu mno y kichwa
ANYWE MAJI YA KUTOSHA YAWEZA KUA WAMEMPUNJA DRIP HUYOThanx,Kuna mtu wangu alipelekwa theatre kama wiki 2 zilizopita lakini analalamika hajielewi elewi yani kama mtu ambae amelewa hivi je itakua ni sababu ya hii dawa au ?
Kuna weaning process kama uko hospitali mkuu.Kichwa kuuma sana hvyo ni vyema akitoka msimuongeleshe sana apate muda wa kupumzika