Kwanini mkuuWajawazito marufuku kbs
iyo kitu ukizidisha ni mbaya Ndugu nakumbuka nami nlikua na tabia ya kunywa kama maji naenda pima pressure nakuta iko juu sana na kizunguzungu kwa sana ila baada ya kuacha hali ile ikapotea kabisa like Redbull
zina chemical moja inaitwa Caffeine ambayo ikizidi mwilini sio nzuri kam kahawa.
Wewe sio mlokole mkuu??Hata soda ukizidisha unapata madhara.........
Energy drink zinaogopwa sana mtaani,hasa walokole wanaziogopa sana,ha ha ha
mi nakunywa tatu kwa siku,
Energy drinks ni booster ya kuongeza nguvu mwilini inayotumia caffeine, na bahati mbaya sana kila mtu anatofautiana capacity yake ya ku tolerate kiwango cha caffeine kwenye mwili wake.Habarini wakuu,
Naomba kujua je, kuna madhara yoyote ya kutumia energy drink hizi za 500 au 600, na ni kwanini wanashauri usitumie zaidi ya mbili kwa siku?
Ahsanteni.
Energy drinks ni booster ya kuongeza nguvu mwilini inayotumia caffeine, na bahati mbaya sana kila mtu anatofautiana capacity yake ya ku tolerate kiwango cha caffeine kwenye mwili wake.
Mara nyingi hizi zinazopatikana mitaani za bei nafuu zinakuwa zimezidishwa sana caffeine na bahati mbaya mamlaka zetu hapa Bongo zinazosimamia masuala ya afya ya mlaji kama unavyozijua huwa hawako makini sana kufuatilia haya mambo, kama kitu hakijaripotiwa kwao, huwa hawajisumbui kukichimba.
Kuna baadhi ya watu hunywa mbili au tatu bila madhara, na kuna watu wakinywa nusu tu ya kale kamkebe wanaanza kuona wenge, sasa kujua ni ngapi mtu anatakiwa kunywa bia madhara inabidi ujifanyie research mwenyewe kutokana na stability ya mwili wako.
Ila kwa watu wenye miili dhaifu kama wajawazito, wazee, wagonjwa wa moyo na kisukari, kansa, Ukimwi na watu wenye level ya juu ya stress sio vizuri kuzidisha hata moja kwa siku hasa kama unakunywa mara kwa mara.
Mara nyingi mwili huwajitengenezea wenyewe automatically stress level unayoweza kuivumilia, the more you push it the more it adopts lakini kumbuka kwenye kila strength ya material kuna breaking point, ukiivuka imekula kwako.
Sishauri sana mtu kuyazoea haya madude, si mazuri kwa afya, labda kama unakunywa limoja kwa wiki lakini kama ni kila baada ya siku mbili unajibusti, muda si mrefu mwili utazoea kubustiwa na usipopata busta unavamia moyo kuulazimisha ku pump damu kwa wingi matokeao yake ni presha na magonjwa ya moyo.
We nae unaongea pumba tu eti tuache kula vitu vya viwandaniTuache tabia ya kula na kunywa hovyo vitu vya viwandani kwa hutumia zaidi kemikali na si matunda halisi.
Tuithamini zaidi miili yetu kuliko tamaa ya kulakula kila kitu.
elimu inatakiwa itolewe zaidi uswazi wanazinywa mno wakiamini znaongeza nguvu za kiume wenyewe wanaita kuji boostEnergy drinks ni booster ya kuongeza nguvu mwilini inayotumia caffeine, na bahati mbaya sana kila mtu anatofautiana capacity yake ya ku tolerate kiwango cha caffeine kwenye mwili wake.