President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
Madhara ya Katiba Inayopendekezwa kwa wagombea urais wa UKAWA hususan mh.Mbowe na Dk.Slaa ni makubwa na huenda ikasababisha kuenguliwa na Tume ya uchaguzi endapo watawekewa pingamizi. Mh.Mbowe kwa kigezo cha elimu na kukiuka madili ya uongozi (ikithibitika tetesi za kuzaa nje ya ndoa ni za kweli), Dk.Slaa kwa ukiukwaji wa maadili ya uongozi (ikithibitika mke wa kwanza bado ni mke halali kisheria, na mke wa pili anaishi naye bila ndoa halali kisheria).
Hivyo basi pamoja na mapungufu mengi katika Katiba Inayopendekezwa, kura ya HAPANA kwa UKAWA ndio mlango wa kutokea hususan kwa mh.Mbowe na Dk.Slaa, kazi kwenu wapiga kura mtakaoshiriki kura ya maoni tar. 30 April, 2015.