Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
jamani wazima wote?? si ndiyo?
aisee niesoma post moja ya mdau kutoka jukwaa la elimu ambaye yuko kwenye harakati za kuuza viungo vyake vya mwili, yaani FIGO na KONGOSHO! aisee nimejiuliza mara mbili mbili, is that possible??
yaani mtu afanye biashara ya viungo vyake vya mwili muhimu kabisa halafu aendelee kuishi kwa amani??
... jamani hii inawezekana vipi wataalamu?
... na vipi wale wanaojitolea viungo vyao kwa ajili ya wapendwa wao? life expectancy huwa haiathiriki?