du kazi kweli kweli!Tahadhali inatolewa kwa wote wanaotumia condomu kuwa, utafiti umefanywa na umethibitisha kuwa ukitumia condomu kwa muda mrefu wanaume watakosa nguvu za kiume na hii imepelekea vijana wengi kutumia viagra sana au kupiga bao moja tu, kwa upande wa hakina dada wanaugua fangasi sehemu za siri na kuwashwa sana na kutokwa maji maji machafu na yanatoa harufu mbaya. KAZI KWENU.
Tahadhali inatolewa kwa wote wanaotumia condomu kuwa, utafiti umefanywa na umethibitisha kuwa ukitumia condomu kwa muda mrefu wanaume watakosa nguvu za kiume na hii imepelekea vijana wengi kutumia viagra sana au kupiga bao moja tu, kwa upande wa hakina dada wanaugua fangasi sehemu za siri na kuwashwa sana na kutokwa maji maji machafu na yanatoa harufu mbaya. KAZI KWENU.
Yaani umejiunga JF kueneza upumbavu? Lete huo utafiti hapa watu wakuumbue.
Kama umeguswa tafakari na uchukue hatua.Kutumia Kondom ni sawa na kupiga nyeto.Yaani umejiunga JF kueneza upumbavu? Lete huo utafiti hapa watu wakuumbue.
Wazinzi wapo wengi,kwanini msiache zinaa?Jamani kumbe condom inatumika sana. Maana hizi hasira kama vile mlevi ukimwaga pombe yake
atakuona unamjali!!!! tee teeh teeh!!!Ukizoea kutumia sana condom yaani siku umeoa wife utataka uendelee kutumia sijui wife atajisikiaje?
Wazinzi wapo wengi,kwanini msiache zinaa?
Mkuu umesema lengo la awali lilikuwa kupanga uzazi(Wakati uliopita),je lengo la sasa ni lipi kama si kukaribisha zinaa?Acha kushabikia mambo ya kuvunja amri ya 6 aliyopewa mussa na mwenyezimungu!condom haina maana ikitumika ni uzinzi, lengo lake la awali lilikuwa ni kupanga uzazi
Mkuu umesema lengo la awali lilikuwa kupanga uzazi(Wakati uliopita),je lengo la sasa ni lipi kama si kukaribisha zinaa?Acha kushabikia mambo ya kuvunja amri ya 6 aliyopewa mussa na mwenyezimungu!