madhara ya kuangalia porn (ngono)

Watu wengine bwana! Kwani ukitoa mawazo yako bila kumuudhi mwingine kwa maneno ya hovyo huwezi? Mtu anamwambia mwenzie umeshakuwa Boflo,kana kwamba anamuona,its not fair,mleta mada kaleta mada apewe ushauri na si maudhi.
 
kuna uhusiano gani kati ya kuangalia porn na kupoteza nguvu za uoni wa macho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…