Wahafidhina waliusuka huu mpango na wamefanikiwa!!
Ni rasmi juhudi kibao lakini Bado mhusika anahisi hakubaliki ndio maana kila saa yupo njiani anahangaika mno!!

Aibu kubwa sana kwa nchi hii na ccm pia wameanza kampeni mapema sana kila kitu kiwe na picha ya mama tu weka wekeni picha angani juu mungu atamuona mja wake ,tumieni Hela zetu vibaya tu ,