Nadhani jibu liko wazi kabisa, vinginevyo unataka kuwaenjoy watu tu.
kawaida tendo la ndoa ni lazima mwanamke aandaliwe kwanza (awe tayari kimwili, kiakili na kiseikologia).
watu wazima hapa wameshanielewa tayari. vinginevyo kama hajaandaliwa sehemu husika huwa dry (haina uteute) wa kuruhusu mkuu wa mkoa kupita bila mikrwaruzo.
matokeo yake mwanamke huumia kwa kupata michubuko na mara nyingine kutokwa damu.