JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Kulegea kwa misuli ya kibofu na kusababisha kushindwa kuzuia mkojo
Hupelekea kushindwa kutoa mkojo wote
Husababisha UTI, kutokana na bakteria wanaojitengeneza kwenye mkojo
Husababisha maumivu makali chini ya Tumbo
Ukibana mkojo kuanzia masaa 10 na zaidi inaweza kupelekea mishipa ya kibofu kulegea na hata kibofu cha mkojo kupasuka