farmersdesk
Senior Member
- May 26, 2012
- 164
- 125
MADHARA YA KUCHANGANYA KUKU WASIO LINGANA UMRI
.............................................
Kuchanganya kuku wasio lingana umuri kuanzia siku 30 za mwanzo ni kudumaza kuku hao na kuwafanya wasikue vyema. Kinachotokea hapa ni kwamba.
✔️ watatofautiana ulaji kulingana na umuri pia itakuwa ngumu kwa mfugaji kulisha kuku hawa kulingana na umuri sahihi kwa sababu wametofautiana. Matokeo yake ni kwamba hawa ambao wamezidiwa umuri watadumaa na kuchelewa kutaga.
✔️ kudonoana sana bandani. Hili nalo linaweza koto Kea endapo kuku watakuwa wamechanganwa pasipo kuwangalia umuri na madhara yake. Kaku wakubwa waweza kuwadonoa hawa wadogo hata kama wanapishana mwezi mmoja. Kuku wadogo ni rahisi kupata vidonda katokana na kudonolewa . Baada ya kupata majeraha ndio chanzo cha kuku kulana nyama bandani kwa sababu ya zile damu.
✔️ wakati wa majogoo kuanza kupanda ni rahisi kuwavunja na kuwategua mabawa au hata kusababisha ulemavu kutokana na kuku hawa kupandwa kabla ya muda wao sahihi wa kupandwa. Kitaalamu inashauriwa kwamba kuku apandwe na majogoo ambayo yanalingana umuri mpaka pale makoo yatakapokuwa yametimiza kuanzia miezi 8 wanaweza kupandwa na jogoo yeyote.
✔️kupandisha vyombo vya chakula na maji kulingana na umuri wa kuku huwa ni ngumu kwa mfugaji kwa sababu kuku wametofautiana ukuaji. Endapo mfugaji atatumia kuku wakubwa kama reference ( rejea ) kufanya mamzi ya kupandisha vyombo itakuwa ngumu kwa kuku wenye umuri mdogo kula chakula kwa ufasaha. Mwisho wa siku watadumaa na kuchelewa kupata matokeo kwa mfugaji.
✔️ kukanyagiwa chini wakati wa kugombania chakula. Hali hii hiwafanya Kuku wadogo kuchoka na kukosa nguvu kisha kudumaa kwa muda mrefu. Mfugaji unapaswa kuwa makini kwa kuwatawanya kuku kwenye madumu yao ya chakula ili kuangalia chini kama Kuna ambao wanakanyagiwa chini.
✔️ kuku wanapoanza kutaga hawa tunashauri abadilishiwe chakula Tangu kuona yai la kwanza bandani na kupewa layer marsh. Endapo mfugaji atakuwa amechanganya kuku hawa bila kuzingatia umuri lazima iwe ngumu kubadili chakula au atabadili lkn kuna kuku ambao itakuwa sio muda wao sahihi wa chakula hicho.
Ungana na familia ya wafugaji kupitia
1.TELEGRAM tafuta neno "farmers desk" kisha jiunge
2.INSTAGRAM KAMA @farmersdesk_tanzania