Madhara ya kufanya mapenzi kila siku

Namuonea huruma mwanamke mwenzangu muda wote ananuka mbo.....[emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli tumripot me kwa daudi bashite chaa!!!cio kwa cifa hzo
 
Unapunguza siku za kuishi umeona Nelson Mandela ameishi miaka mingi sana na kafa akiwa bado ana nguvu zake ni kwa sababu alikaa muda mrefu bila kufanya sex,sasa angalia maraisi wengi wa age yake wameondoka wamemuacha,usiendekeze sana chini mjomba.

Napatà shaka na vijana wa leo kutokujenga fijra pevu, na naona changamoto ya uhamasishaji wa kupambana na ukimwi inakufa.
Tujikumbushe kidogo, je ulivuta bangi ni kweli unakuwa na nguvu za kufanya kazi muda mrefu?
Basi hata kuoiga kila siku vitatu au vinne ni suala la kujiaminisha kisaikolijia kuwa unaweZa kupiga.Pia ni kweli kwenye umri wa kubarehe wakato hormones zinafanya kazi vizuri , na musuli haijaathiriwa na madawa, nguvu bado asilia, kupiga kila siku inawezekana , sababu hata muhemuko bado uko sawa.
Sasa kwa bia ya kujielemisha , kupiga ni pamoja na nguvu na fya njema , hakuna msongo, maisha kuwa burudani .lakini je kiuhalisia hivi vyote viko sawa kila ukitaka kupiga kutwa mara tatu?na je mwenzi wako naye yuko sawa, kiafya, kisaikolojia, na hana msongo?mawazo hayo ni vijana wanao barehe, watoto wa mama, watoto ambao wanapata vijisenti na kusahau maisha ya baadaye kuwa pia yapo.
Kimsingi mtu aliye na fikra ya maisha ya baadaye hawezi kuwa na fkra ya kupiga kika wakati maana hayo nayohangaika nayo nana msumbua kisaikolojia.
Hoja ya kimsingi hata kama una nguvu, maanake nguvu hizo zitumike vizuri kwa maisha ya baadaye.pia je ukiwa kija ni kweli huna msongo?basi kukwepa ujiga na fikra ovu ya ujana fikra iwe kuwaza maisha ya baadaye badala kuwaza ngono kama maisha
Ni kweli swali lilikuwa je kuna madhara ya kupiga kila baada ya siku tatu, mm nasema ipo, nayo ni kwamba , je kila baada ya siku tatu mwenzako naye yuko fit kisaikolojia?je naye atakuwa na nguvu sawa za kushiri kwa minajili ya starehe?sasa kama haliwezi kwenda sawa maanake kutakuwa na ngono lazimishi na si shirikishi ambayo ni usumbufu na huongeza msogo kwa mwenzako, na pia kukosa upeo wa kuwa na fikra kimaisha na kuzisimamia bali shughili ni ngono
 
Unapunguza siku za kuishi umeona Nelson Mandela ameishi miaka mingi sana na kafa akiwa bado ana nguvu zake ni kwa sababu alikaa muda mrefu bila kufanya sex,sasa angalia maraisi wengi wa age yake wameondoka wamemuacha,usiendekeze sana chini mjomba.
Acha uongo....
 
Mkuu, so kwa maneno yako huenda Mugabe ile mama mke yake nzuri huenda haigegedi ndio maana anaendelea kusurvive?
 
Unapunguza siku za kuishi umeona Nelson Mandela ameishi miaka mingi sana na kafa akiwa bado ana nguvu zake ni kwa sababu alikaa muda mrefu bila kufanya sex,sasa angalia maraisi wengi wa age yake wameondoka wamemuacha,usiendekeze sana chini mjomba.
Mkuu unasemaje kuhusu Mugabe
 
Ulikuwa unakula vizuri Mkuu? Kama unakula msosi wa uhakika hutakiwi kutokea na hali hii.

Mimi kuna kipindi nilipiga show ya Kimataifa Kila siku si Chini ya bao Tatu kwa mwezi mzima ila nilishindwa kutembea umbali mrefu na nilikuwa napata kizunguzungu muda mwingine
 
...lakini mbona wengine wanazidi kupendeza? Hii kitu inakuwaje lakini? Mwanamke kukojoa wakati wa tendo hudaiwa ngozi yake hung'ara zaidi na kuwa nyororo hali hii haiwezi kumzeesha mrembo bali huzidi kupendeza.

Heeeee labda kwa mwanaume aisee mwanamke unachokaaaa tena had kuzeeka
 
...lakini mbona wengine wanazidi kupendeza? Hii kitu inakuwaje lakini? Mwanamke kukojoa wakati wa tendo hudaiwa ngozi yake hung'ara zaidi na kuwa nyororo hali hii haiwezi kumzeesha mrembo bali huzidi kupendeza.
Eee hapo hapo wanasema mwanamke ukifanya sana unazeeka
Ila haitakiw kuzid buana kwa kias tu ndo unakua mrembo
 
Ok Mkuu labda hili la chakula cha kubabia babia lilichangia, lakini kama unakamata msosi wa uhakika milo mitatu kwa siku hili haliwezi kutokea.

Nilikuwa hostel kipindi hicho na chakula ni cha kumega mara mbili hakipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…