Madhara ya kufanya mapenzi kila siku

Ni kweli mkuu, sikuwahi kuwa na demu,mapenzi nmeanza kwenye ndoa
Hivi uliwezaje kuishi miaka na miaka na ubikira wako ukashindwa kumpumzisha mwanamke wako hata kwa siku 5-7?
 
Huo mkeo amekua punda maana angelikua Kuku angekimbia, nampa pole sana (kama ni kweli) mapenzi ni hisia sasa Huyo bibie kwake mapenzi itakua ni adhabu tu akuridhishe uende,kitu ambacho kinaweza kumuathiri kisaikolojia kwamba kila umsogeleapo unataka ....
Hebu jifunzeni romantic life ambayo si lazima kuchoshana kila siku mpeane nafasi mpaka siku mkipeana kila mtu anamganda mwenzie
 
Madhara yapo mfano:
1) Itafika pahala hutotamani tena kushiriki tendo hilo na mwanamke huyo kwakua utakua umekwisha mkinai na hiii itakupelekea wewe kutafuta kamchepuko ili kusaka ladha Tofauti jambo ambalo ni hatari kwenu maana ni rahisi kupata magonjwa ya zinaa ukiwa katika mtandao huo wa Ngono.

2) Madhara mengine ni pale tuu ambapo utakua unakosa MLO KAMILI, hii itapelekea mwili wako kuchoka na kushindwa kufanya kazi kama ipasavyo. Ifahamike yakua MANII(SPERMS) hutengenezwa kwa PROTEIN hivyo basi mwili huhitaji Protein kwa wingi ili kukamilisha kazi hiyo.

LAKINI.
Faida za Kufanya tendo la ndoa kila mara ni nyingi zaidi kuliko madhara. chamsingi ni wewe kuzingatia swala la Chakula na Maradhi

AU,
Embu tueleze kidogo Bao lako ni Lipi, Maana kuna wadau humu ndani dizain kama wanadhan "Ile kuchomeka na Kuchomoa ni Bao Moja...."
 
Tafiti zinaonesha wanaume wanaofanya mapenzi mara kwa mara wanapoteza nguvu nyingi sana na hivyo kupelekea kupunguza siku zao za kuishi na kuacha wake zao wajane na watoto yatima! Kitaalamu tendo la ndoa kwa mke na mume linashauriwa lifanyike walau mara mbili kwa wiki wanandoa walizojipangia na si zaidi ya hapo! Pia tafiti zinampa mwanamke faida zaidi kwa kuwa yeye anakuwa mpokeaji pekee na hivyo kupunguza hatari zaidi ya kifo! Tendo la ndoa zuri ni lile linaloambatana na chakula bora cha asili ili kuweza kuwasaidia wanandoa hasa mwanaume kuweza kurudisha calories zilizopotea kabla na baada ya tendo! Huwezi kula wali nyama au sembe maharage, mkate mweupe na chai ya rangi halafu ufanye mapenzi kila mara na mwenzako then utegemee kuishi maisha marefu..thubuttuuu haipo hiyo hah hahah hahah
 
Sijawai sikia wala kuona na wala haita kaa itokee kuwa kuba nathara ya kufanya sex.period
 
Almost kila siku lazima nigegedue wataalam wanasema inaimarisha afya kama unayo afya yenyewe but ndoa pia
 
Ni doz almost kila siku ending after not less than 45 minutes
 
chaaaa kama mi mkeo nakukimbia kwani dawa ya materia hiyo
 
Ila nmewaelewa ASANTENI NYOTE MMESHIRIKI KUMUELIMISHA HUYU MR MIMI MUNGU AWABARIKI NTAFANYIA KAZI ,NTALAZIMISHA HATA VISAFARI KIDOGO
 
Ukiona unachoka pata hata supu ya pweza mkUu
 
Jaman samahanini sana kwa swali langu naomba kufahamu,hivi kushiriki tendo la ndoa kwa mwanaume mara kwa mara (every day),kuna madhara yoyte kiafya??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani, watalaam wa haya mambo, toka nioe, sijawahi kumaliza siku 3 bila kugegeda labda awe safari, na period, yake kuna madhara gani ?
Madhara yake ni thamani ya dola kupanda dhidi ya shilingi ya kitanzania.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…