Madhara ya kufanya mapenzi mara kwa mara

Nakutokufanya mapenzi kuna madhara sasa tusimame upande upi ikiwa hata kufanya mapenzi kuna madhara
Uwe mtu wa kati kwa kati usifanye mapenzi kwa wingi na wala usiache kabisa kutofanya mapenzi. Kama chakula ukila kwa wingi utavimbirwa na tumbo kila kitu kinatakiwa ukifanye kwa wastani sio kuzidisha au kupunguza Jipu
 
Sikubaliani nawe hata asilimia moja, sex is not always about pumping each other, making love and being creative is what counts. You can have fun on a daily basis.
 

Aloo kweli nimekubali hii kitu iko na madhara flan ukiipiga daily
 
mkuu hiyo kama kinyume chake vile wengi nikiyo shuhudia wana T-DUME ni wapigaji hovyo wazuri tu!
 
Kupitisha cku mbili bila game labda kama kuna ugomvi na mwenza
 
Bila Ngono Hakuna maisha', na itategemeana na hitaji la mwili wako ', mwili pia ina kipimo chake *automatic * huja automatically na sio kufosi
 

Hili nalipinga kwa nguvu kubwa, ni uongo wa hali ya juu. Kila mara tunaona watafiti wanatuletea habari hizi kwa mtindo wa kugeuza ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli.

Siku moja niliona Utafiti ukionyesha kufanya mapenzi kunasaidia vitu fulani katika kujenga afya ya mtu na bado haikishia hapo tu

Ukaletwa uzi mwingine na mdau humu humu kuhusu maswala hayo hayo yahusuyo kufanya mapenzi, lakini nikaona dalili kama ni uzi maalum wa kibiashara.

Wale mnaouza madawa mbali mbali yanayohusu afya ya uzazi punguzeni udanganyifu kwa lengo la kufanya biashara zenu ziende vizuri mnaumiza watu.

PUNGUZENI MATANGAZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…