Madaktari wa humu ndani poleni kwa kazi kubwa ya kutuelimisha sisi.
Ninaomba kufahamu ninamtoto mmoja ambaye inasemekana bega lake lina tatizo kwa ndani sasa madaktari wanashauri afanyiwe x-ray. Umri wa mtoto ni wiki tatu.
Je kufanya x-ray kwa mtoto huyu hakuna athari za kiafya?
Msaada wa mawazo ya kitabibu tafadhali