Madhara ya kufanya X-ray kwa watoto

Madhara ya kufanya X-ray kwa watoto

mnyandzombe

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
245
Reaction score
194
Madaktari wa humu ndani poleni kwa kazi kubwa ya kutuelimisha sisi.

Ninaomba kufahamu ninamtoto mmoja ambaye inasemekana bega lake lina tatizo kwa ndani sasa madaktari wanashauri afanyiwe x-ray. Umri wa mtoto ni wiki tatu.

Je kufanya x-ray kwa mtoto huyu hakuna athari za kiafya?
Msaada wa mawazo ya kitabibu tafadhali
 
kwa akili yangu niliyo soma sana physics.kiwango cha radation si cha kuweza kuleta mazara.ila kwa mtu ambaye anaye fanya kazi anashauliwa kufanya kazi si chini ya miaka 5 kutokana mda mwingi yupo kwenye hatari ya radation
 
Asante kwa mchango
 
Back
Top Bottom