nikifua mostly
Hongera mama kijacho
na je kulala kwa mgongo....madhara yake ni yapi?
charminglady you have summoned me!! ahsante...habari za saa hizi?
naomba kujuzwa madhara yanayoweza kumpata mama mjamzito anaeinama mara nyingi au kwa muda mrefu hali ya kuwa mimba yake ni kubwa...kuanzia miezi sita na kuendelea.
natanguliza shukran!