Zakaria Maseke
Member
- Apr 26, 2022
- 83
- 128
Katika magonjwa yanayoongoza kuua watu ni HASIRA au KINYONGO. HASIRA au KINYONGO ni chanzo cha magonjwa mengi na vifo. Vinapunguza sana siku za kuishi.
Uchungu usipoutoa moyoni utatokea sehemu nyingine, π ukitokea kwenye ziwa, π€± tunaita kansa ya titi, π ukitokea kwenye moyo tunaita presha, π―
Kila ukikasirika nyongo inamwagika. Watu wenye tabia ya kupandwa na hasira mara kwa mara wako kwenye hatari kubwa sana ya kupata vidonda vya tumbo.
Ukiwa na uchungu au hasira sana hata kinga za mwili zinashuka. Kinga zikishuka kila ugonjwa unaokuja utakupitia.
Chunga sana usikae na uchungu au hasira moyoni, π inazuia hata msamaha wa dhambi. π Maana kanuni ya Mungu inasema, βutusamehe dhambi zetu, π kama sisi nasi tuwasamehevyo waliotukosea.β Mathayo 6:12 π
Usikubali kumuwekea mtu kinyongo. Mungu akisema uachilie ni kwa faida yako, kwanza unafungulia kusamehewa dhambi zako, pili unaponya afya yako.
Mungu anaposema samehe na usahau ni ili utoe nyongo moyoni, kusamehe ni kujipa uhuru, unajitoa kwenye gereza wewe mwenyewe.
Vitu vingine kwenye maisha potezea, π acha kubeba kila kitu. π Aliyekuacha unaweka moyoni, π wakikusema vibaya unaweka moyoni. π₯± Utabeba wangapi mwisho moyo upasuke bure, mwisho sura izeeke mapema msemo wa mwimbaji fulani.
Tafadhali, usife na uchungu, toa hiyo nyongo. Hakuna maumivu yanayoshinda msamaha, ukitaka upone haraka we kubali kusamehe.
Msamaha haina maana ni udhaifu, π ββοΈ ukiendelea kumuweka mtu moyoni π unayeumia ni wewe. Hata dhambi zako hazitafutwa kama umeshindwa kuwasamehe waliokukosea. Mungu anasema βHeri wenye rehema, π Maana hao watapata rehema.β π Mathayo 5:7 π
Rehema maana yake ni huruma. π° Kama unataka Mungu akuhurumie π― na wewe hurumia wengine. π
Kama kuna mtu hujamsamehe, π― kaa ukijua kabisa dhambi zako hazijafutwa. π ββοΈ βBali msipowasamehe watu makosa yao, π wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.β π Mathayo 6:15
Kama kuna mtu bado una bifu naye, π hamsalimiani π au hujamsamehe, βΊοΈ na wewe dhambi zako bado ziko hapo hewani π hazijapita hata sayari ya Mars kwenda kufutwa Mbinguni. π€ Rejea sala ya Baba yetuinasema, βutusamehe kama na sisi tunavyowasamehe waliotukoseaβ π§π»ββοΈ
Na msamaha hauna limit (kikomo). Siku moja petro alimuuliza Yesu, βοΈ βBwana, π― ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? π Hata mara saba? π€·ββοΈ Yesu akamwambia, π― Sikuambii hata mara saba, β bali hata saba mara sabini. βπ Mathayo 18:22
7 x 70 = 490.π Kwa hiyo mtu akukosee hata mara 490. π Hilo fungu linasema ili ifikie kikomo cha kumsamehe mtu βΊοΈ zifike mara 490 kwa kosa hilo hilo, π€ na hayo makosa yafanyike kwa siku moja. π
βKama ndugu yako akikosa, π° mwonye; akitubu msamehe. π Na kama akikukosa mara saba katika SIKU MOJA,π na kurudi kwako mara saba, π§π»ββοΈ akisema, Nimetubu, πββοΈ msamehe.β π Luka 17:3-4
Ikimbie migogoro isiyo na sababu. π Hakuna haja ya kupigana ili kudhihirishia ulimwengu π kwamba wewe ni mwanaume au ni mwema. π ββοΈ
Hapo kale mliambiwa, βJicho ποΈ kwa jicho, ποΈ na jino π¦· kwa jino. π¦· Lakini mimi (Yesu) nawaambia, Msishindane na mtu; π ββοΈ lakini mtu akupigaye shavu la kuume, π₯± mgeuzie na la pili.β π Mathayo 5:38-39
βA wise man was asked what is anger? He gave a beautiful answer: It is a punishment we give to ourselves for somebody elseβs mistake.β (Mwenye hekima aliulizwa, hasira ni nini? Akajibu vizuri sana, kwamba ni adhabu tunayojipa wenyewe kwa makosa ya mtu mwingine. β Unknown
Sulemani yeye anatuambia, βUsifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavuβ Mhubiri 7:9
Kuna nukuu moja inasema, βKama tungelipiza visasi βΉοΈ kama tungewachafua waliotuchafua, π€§ kama tungewaharibia walio tuharibia, π leo tusingefika hapa tulipo. βΊοΈπ ββοΈ Kuna nguvu katika kukubali aibu, π kusamehe, π kukaa kimya, π· kuachilia, π lakini zaidi kusimama na Mungu.βπββοΈ
By Zakaria Maseke
(0754575246 WhatsApp)
Piga bure.