Madhara ya kuku wa kisasa.

kunyala

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
76
Reaction score
18
kwa wataalamu au yeyote mwenye uelewa juu ya madhara ya kula nyama ya kuku wa kisasa
Naomba kujua kipi ni kibaya zaidi.Nyama.Ngozi ya juu.Mifupa au Nyama za ndani.(figo.maini na firigisi.)
 
Hao kuku siku hizi wanawalisha ARV kuwanenepesha,bora kuendelea kula wa kienyeji.
 
tatizo ni kuwapata wa kienyeji na mbaya zaidi kwenye mahotel na migahawa tunalishwa hao hao wa kisasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…