Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Mkuu, what are you eating then? it may be prudent to use those items in MODERATION else you will suffer from adulthood malnutrition.Nina shida kidogo ya kiafya hivyo nimeambiwa nipunguze fat, sugar, protein na starch. Kuna baadhi ya viti nimeacha kabisa kula kama red meat, wali, ugali, sukari na chumvi. Nimetokea sana kupenda kula korosho karibia robo kilo kila baada ya siku mbili. Je inaweza kuwa na madhara yoyote mwilini?
Thats nasty!Nilikula korosho robo kilo nilipotembelea Mtwara, choo kikabadilika kikawa rangi ya korosho, toka siku hiyo nikasema sili korosho kwa wingi, choo kiwe rangi ya choo.
Thats nasty!
ulijuaje choo chako kilikuwa NA RANGI YA KOROSHO?
Nina shida kidogo ya kiafya hivyo nimeambiwa nipunguze fat, sugar, protein na starch. Kuna baadhi ya viti nimeacha kabisa kula kama red meat, wali, ugali, sukari na chumvi. Nimetokea sana kupenda kula korosho karibia robo kilo kila baada ya siku mbili. Je inaweza kuwa na madhara yoyote mwilini?
kiafya unatakiwa kukagua choo chako pamoja na mkojo wako hapo ndio utajua usalama wa tumbo lako pamoja na umeng'enywaji wa chakula ulacho. Bila kujichunguza kamwe hutajua usalama wa mwili wako. usione kinyaa ni kawaida tu. Muhimu usafi uzingatiweThats nasty!
ulijuaje choo chako kilikuwa NA RANGI YA KOROSHO?
Nilikula korosho robo kilo nilipotembelea Mtwara, choo kikabadilika kikawa rangi ya korosho, toka siku hiyo nikasema sili korosho kwa wingi, choo kiwe rangi ya choo.
Nilikula korosho robo kilo nilipotembelea Mtwara, choo kikabadilika kikawa rangi ya korosho, toka siku hiyo nikasema sili korosho kwa wingi, choo kiwe rangi ya choo.
Unapo kunya lazima ukague kinyesi ulicho shusha?