Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Mada ni nzuri hasa kwa ulivyo ichambua,,,ila c achi kula nyama ya nguruwe
 
watu hawajui kitimoto na bia ni dawa ya ukimwi.
twenzetu hubby wangu, ukanipatiepo hata kimoja kishushiwe na mdudu huyu kitimoto! Hakika natamka wazi, siku al-shabab wakija nyumbani wangu watauoga mchuzi na supu ya nguruwe! Ndio watakoma kunyanyapaa watu!

Kuliko uninyime kitimoto, bora ukanilaze westgate bila ulinzi wowote!
 

Mke wa ujana wangu leo umenifurahishaje. Ngoja nikutafute wozap
 
mke wa ujana wangu leo umenifurahishaje. Ngoja nikutafute wozap
kuja pande ile hubby wangu! Achana na watu wenye wivu usio na mipaka! Wanatuua bila sababu, na chakula pia wanataka kutupangia! Hakika nasema, kabla hawajaniuliza maswali yao na kunisilimisha, watakuwa wameoga supu za chakula hiki!
 
Uhitaji wa hii kitu ni mkubwa sana,hii inaashiria watu wengi wa iman tofauti tofauti wanapiga hii kitu.
Kwa dar kilo ni elfu tisa ya ng'ombe ni buku tano.
Pia hachapwi viboko mtu,asiye kula asiingilie wenzie wanaokula.
 
Kamusi.... Unavyosema masuala ya kuifanyia experiment kabla ya kuipika kwani umesikia watu wanailaga ikiwa mbichi!!!? Labda nkuulize ushawahi pia kuifanyia nyama ya ngombe au mbuzi experiment kabla ya kuipika ukaona result zake!!!? By the way tangu lini nyama ikalowekwa na soda... Embu usituletee habari zenu za vijiweni hapa
 
Tena kwa taarifa yao, hiki chakula kitakatifu kinaongeza nguvu zote.
Kutwaaa kuchaaaaa wanakaa kuipinga kitimoto, lakini kutwaaa kuchaaaa wanakula kwa kificho, wale wa Sinza wanaenda kula mbande na wa Mbande wanakesha kibaha kuitwanga kitimoto... Na ndiyo maana wakati wa ule mwezi huwa inadoda sana
 
Uhitaji wa hii kitu ni mkubwa sana,hii inaashiria watu wengi wa iman tofauti tofauti wanapiga hii kitu.
Kwa dar kilo ni elfu tisa ya ng'ombe ni buku tano.
Pia hachapwi viboko mtu,asiye kula asiingilie wenzie wanaokula.
asante kwa msimamo bwaashe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…