Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Mkuu unajisifu kula Shwaini! Nina mashaka na imani yako kama Uìslamu huuwezi mbona dini ziko nyingi! Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.
 
Mambo ya Walawi, Chapter 11: [SUP]11:7[/SUP] Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu. [SUP]11:8[/SUP] Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. @ Biohazard
 
Kwa mtazamo wangu imekaa kiimani zaidi
 
[FONT=Times New Roman, Times, serif]PIG & PORK FACTS[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]THE pig or swine is a very popular food item with most Christians. Yet Christians are unaware that the God they profess to believe in had condemned the eating of swine's flesh. The condemnation was based on some very sound biological principles. Here are some facts on pork that prove it to be a very unhealthy food to eat: [/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
A pig is a real garbage gut. It will eat anything including urine, excrement, dirt, decaying animal flesh, maggots, or decaying vegetables. They will even eat the cancerous growths off other pigs or animals.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
The meat and fat of a pig absorbs toxins like a sponge. Their meat can be 30 times more toxic than beef or venison.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
When eating beef or venison, it takes 8 to 9 hours to digest the meat so what little toxins are in the meat are slowly put into our system and can be filtered by the liver. But when pork is eaten, it takes only 4 hours to digest the meat. We thus get a much higher level of toxins within a shorter time.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
Unlike other mammals, a pig does not sweat or perspire. Perspiration is a means by which toxins are removed from the body. Since a pig does not sweat, the toxins remain within its body and in the meat.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
Pigs and swine are so poisonous that you can hardly kill them with strychnine or other poisons.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
Farmers will often pen up pigs within a rattlesnake nest because the pigs will eat the snakes, and if bitten they will not be harmed by the venom.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
When a pig is butchered, worms and insects take to its flesh sooner and faster than to other animal's flesh. In a few days the swine flesh is full of worms.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
Swine and pigs have over a dozen parasites within them, such as tapeworms, flukes, worms, and trichinae. There is no safe temperature at which pork can be cooked to ensure that all these parasites, their cysts,and eggs will be killed.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
Pig meat has twice as much fat as beef. A 3 oz T bone steak contains 8.5 grams of fat; a 3 oz pork chop contains 18 grams of fat. A 3 oz beef rib has 11.1 grams of fat; a 3 oz pork spare rib has 23.2 grams of fat.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
Cows have a complex digestive system, having four stomachs. It thus takes over 24 hours to digest their vegetarian diet causing its food to be purified of toxins. In contrast, the swine's one stomach takes only about 4 hours to digest its foul diet, turning its toxic food into flesh.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
The swine carries about 30 diseases which can be easily passed to humans. This is why God commanded that we are not even to touch their carcase (Leviticus 11:8).
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
The trichinae worm of the swine is microscopically small, and once ingested can lodge itself in our intestines, muscles, spinal cord or the brain. This results in the disease trichinosis. The symptoms are sometimes lacking, but when present they are mistaken for other diseases, such as typhoid, arthritis, rheumatism, gastritis, MS, meningitis, gall bladder trouble, or acute alcoholism.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]
The pig is so poisonous and filthy, that nature had to prepare him a sewer line or canal running down each leg with an outlet in the bottom of the foot. Out of this hole oozes pus and filth his body cannot pass into its system fast enough. Some of this pus gets into the meat of the pig.
[/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]There are other reasons grounded in biological facts that could be listed to show why pigs and swine should not be eaten. But a true Christian should only need one reason why not to eat this type of food because God prohibited it. [/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]"And the swine, because it divides the hoof, yet does not chew the cud, it is unclean unto you: you shall not eat of their flesh, nor touch their dead carcase." - Leviticus 11:7,8; Deuteronomy 14:8 [/FONT]
[FONT=Times New Roman, Times, serif]Those who say Christ abolished the law condemning pork are motivated by their stomach not Scripture. The problems with pork are biological, and Christ never changed the laws of biology Shine

Pig & Pork Facts
[/FONT]
 
Last edited by a moderator:
Duh! Jamani msiwe mnatoa thread za aina hii, kwani hapa nilipo tayari udenda unanitoka kwa fujo, ngoja niiwahi mara moja kabla mate hayaja nikauka .

Mkuu yan hawa watu wabaya sana yan asubuhi yote hii..
 

Shekh yan yani huyu mnyama anautamu wa kipekee.
 
mkuu wa meza is as delicious kaa nyama ingine.., matter of fact, is actually better, hasa kwa sisi wapenda vikali..hapo ndio kweyewe mradi ipikwe na mjuvi..

cheers to k/moto..

#hutaki_unaacha..
 
Ma padre wamesoma sana na ndo walaji wakubwa...think twice!

After all, in 50yrs time mimi na wewe hatutakuwepo...!
 
Sikilizen WADAU hakuna kusema SWINE, PIGS AU HOGS ni wabaya sikiliza kipindi kila cha kuandikwa QURAN na BIBLIA nguruwe walikuwa wanaswagwa kama ng'ombe-umasaini. Sasa leo umemfungia ndani anapewa pumba na mabaki ya chakula cha nyumbani hayo mauchafu anayala wapi? AU NA MFUGAJI ANAENDA KUMKOJOLEA na KUMPA KINYESI? Ukija kwa ng'ombe nae ni shida tupu kwa upande wa URIC ACID ktk red meat hapo sijasema Mbuzi. Mpaka kuku wa kisasa siku hizi ni shida tupu kuku ameshiba kemikali mpaka anashindwa kutembea. Mi naona kila mtu atumie ambacho anakipenda na hakimdhuru leo hata kesho. Kutumia kwa kiasi ndo mpango sio kubugia kwasababu kipo. Mi ni Vegetarian lakini huku nako kuna MBOGA feki. Siku hiz bhana lele ni nyingi sana ila kweli ndo itakuweka huru. Soma.
 
jamani hilo andiko takatifu hapo juu halijaeleweka au?
Nadhani tunahitaji mtumishi mmoja aje kulitolea ufafanuzi.
 
Kula kitimoto uongeze CD4 weyee...! hapa Zenji tuna mtu maalum atuletea toka bara nyama tamu sana ile...
 
wengine tumefunga sio fresh kutamanishana.
Kweli Uislam Jina. Wakuu Malizeni Mfungo twende tukale Pork mana Wateja sasa hivi wamedorola kweli...kumbe walaji Mmefunga.
 
Wanaoongea kuwa Nguruwe anamadhara ni Wale wanaokatazwa kula Nyama yake... HAIJALIPOTIWA KUWA NGURUWE ANAMADHARA. Na haijawahi kutokea Mtu kapata Madhara kwa kula Nguruwe labda awe na Allergy nayo tu kama Vyakula Vingine

Muhimu Nyama ipikwe Vizuri. Maana hata Nyoka anasumu ila Analiwa akipikwa Vizuri[chinese food]
 
Mtaongea mpaka kesho siwezi acha kula kitimoto ni kitamu mno hata vijana wangu wa kiislam wanakubaliana na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…