Madhara ya kung'olewa jino na mtu ambaye si daktari wa meno.

Madhara ya kung'olewa jino na mtu ambaye si daktari wa meno.

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
765
Reaction score
194
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu ambo siyo aidha tabibu meno, au daktari wa meno kutoa huduma ya kung'oa meno watanzania katika maeneo mbalimbali hapa Tanzania. Madhara yake ni mengi sana, mfano: Majipu ya kutisha usoni na maeneo yanayo zunguka, Vifo, Ulemavu na maambukizi ya magonjwa kama vile Ukimwi, Homa ya ini (Hepatitis B) N.K
Angalia picha hii ya mgonjwa(Mtanzania) aliye ng'olewa jino na mtu asiye kuwa mtaalamu madhara yalio mpata.
Picture 033.jpg


WITO: Watanzania sikila mtu ndani ya hospitali au kliniki ni daktari.Tuwewaangalifu na Makini na Afya zetu.
 
haya yote watanzania wanayatafuta tena kwa hela kubwa tu. Pole yake huyu mgonjwa. MCT- medical council of TANGANYIKA nao wameozea kwenye siasa badala ya msaada wa kitaalamu kwa watanzania. We utaruhusuje mganga wa kienye kujitangangaza kwenye tv?
 
Cku hizi watu wahang'oi unless kama ndo last option.

Route canary (yaan jino linabki ila halina uhai) mzee ndo da best in this new age, huna haja ya kua kibogoyo
 
Back
Top Bottom