Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu ambo siyo aidha tabibu meno, au daktari wa meno kutoa huduma ya kung'oa meno watanzania katika maeneo mbalimbali hapa Tanzania. Madhara yake ni mengi sana, mfano: Majipu ya kutisha usoni na maeneo yanayo zunguka, Vifo, Ulemavu na maambukizi ya magonjwa kama vile Ukimwi, Homa ya ini (Hepatitis B) N.K
Angalia picha hii ya mgonjwa(Mtanzania) aliye ng'olewa jino na mtu asiye kuwa mtaalamu madhara yalio mpata.
WITO: Watanzania sikila mtu ndani ya hospitali au kliniki ni daktari.Tuwewaangalifu na Makini na Afya zetu.
haya yote watanzania wanayatafuta tena kwa hela kubwa tu. Pole yake huyu mgonjwa. MCT- medical council of TANGANYIKA nao wameozea kwenye siasa badala ya msaada wa kitaalamu kwa watanzania. We utaruhusuje mganga wa kienye kujitangangaza kwenye tv?