Madhara ya kunywa maziwa wakati ukitumia dawa zinazoongeza vitamins

Madhara ya kunywa maziwa wakati ukitumia dawa zinazoongeza vitamins

Mo14

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
211
Reaction score
319
Hili ni swali,

Kuna baadhi ya dawa tukipewa na madaktari huwa hatushauriwi kutumia maziwa, naomba kujua kwa anaefahamu kama dawa zinazoongeza vitamin zina athiriwa utendaji kazi wake kwa namna yoyote na unywaji maziwa. Mfano dawa kama Nat B (Vitamin B) na nyinginezo.

Thanks in adv.
 
Back
Top Bottom