Kuna baadhi ya dawa tukipewa na madaktari huwa hatushauriwi kutumia maziwa, naomba kujua kwa anaefahamu kama dawa zinazoongeza vitamin zina athiriwa utendaji kazi wake kwa namna yoyote na unywaji maziwa. Mfano dawa kama Nat B (Vitamin B) na nyinginezo.