Madhara ya kupiga chafya kiafya

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Hello JF Doctors,
Mwenzenu nina tatizo la kupiga chafya kwa miaka isiyopungua mitano, tatizo huongezeka ninapokunywa maji mengi basi usiku hakuna kulala ni makamasi na chafya ndo mpango mzima.<p>/
Nimesikia tetesi zisizo za ukweli kuwa kupiga chafya kunachangia kupunguza KINGA/Immunity ya mwili!. Naombeni ushauri wenu pamoja na tiba sahihi
Stay Blessed for your incredible advise!<p>/:hatari:
 
Mbona unasema kuwa tetesi si za kweli? Lakini bado zinakuogopesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…