Madhara ya kutafuna mchele mbichi/udongo

Kunyweni bio water natatizo yataisha. Bo water yanapatikanaje inabidi mnitafute. Andikeni email zenu na no za simu tuwasiliane.
 
inawezekana wanaupungufu wa madini chuma. Watakuwa na mifupa isiyo imara sana, na ikitokea bahati baya kuvunjika mfupa, kuunga inakuwa shughuli nzito kidogo.
 
Hakuna majibu yaliyoridhisha hapa, endeleeni kuchangia!

Mara nyingi watafuna mchele wana upungufu mkubwa wa madini ya chuma(iron),,huwa upungufu wa dam
Ukienda hospitali ukafanyiwa uchunguzi utadhihirishiwa hil
Madhara ni damu huendelea kuwa ndogo na hamu ya kutafuna huongezeka jinsi madini ya iron yanavyogungu
Mtumiami pia anaweza akawa na matatizo ya meno kuoza na kuharibika,hata kukatik
Mimi ni mhanga wa kula mchele
Si utani meno yanasumbu
Nilitumia supplement za iron nikaacha kabisa kula mchele,hata nikiuona siutamani
 
Mchele mbichi si mzuri jamani hasa kwa wanawake kwani husababisha ute mzito ukeni.hivyo hufanya mwanamke asiwe na radha.

Heee. Nilikua cjui. Mtu akiacha je anakua normal?
 
Kuna rafiki zangu wawili tofauti walifanyiwa upasuaji wa appendix wote hawakupona, walifariki. Pia jirani yetu alipatwa na hili tatizo naye akafariki kabla ya operation. Huu upasuaji kwa kweli ni Mungu tu ndo aamue kukunusuru
 
Duh kumbe tabia ya kula mchele imekua kama uvutaji wa sigara[emoji1] , mtu akizoea haachi!!!?
 
Fanya hivi chukua :- mchele 6kg sukari 3kg roweka naa tumia mchanganyiko kuanzia alfajir 5:00, 10:00, 01:00, 04:00, 8:00, onyo usitumie maji, wa chakula kingine. Tumia dozi hii kwa siku 7. Ukimaliza dozi hutakaa uguse mchele tena
[emoji1] [emoji1] Utaua mtu ayseee
 
[emoji1] [emoji1] dah huyu sasa ndo much addicted, aweke gunia la mchele tu huko ili asipate tabu ya kutembea nao kwenye pochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…