Madhara ya kutokufanya mapenzi

Mie nna mwaka sijafanya na sijapata tatizo kwahiyo we usikal bt zoez ni muhim
 
wiki mbili mbona chache.......but wet dreams ndio madhara ya mwanzo kuona!
 
Kwa uzoefu wangu mdogo nilio upata kipindi nimeacha kujigijigi kwa miaka mitano. Madhara niliyokutana nayo ni kama yafuatavyo:
-Hasira
-Kuchukua maamuzi yenye kutatanisha

Watalaam niambieni km kuna madhara ya kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu mfano kukaa zaidi ya wiki mbili bila kufanya?
 
Watalaam niambieni km kuna madhara ya kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu mfano kukaa zaidi ya wiki mbili bila kufanya?
.Zifuatazo ni sababu 10 ya madhara yake:
1. Kutotoa maamuzi sahihi
2. Kuwa kwenye ligi ya kipekee ya kupiga sana nyeto kushindana na hisia zako
3. Kucheka hovyo uonapo vijusi, kuku, na wanyama wengine wakilana uroda
4. Kupanda daladala kila wakati na chenji kibao ili uwalipie kinadada kutegemea utapata uroda
5. Kuwa na hasira ukiwa peke yako
6. Kujihisi umerogwa na ex wako hivyo ujikuta ukipiga sana nyeto kuona kama bado una nguvu
7. Kujihisi ms.enge na kujiremba kupindukia mithali ya Ben Kinyaia
8. Kuwahi kulala usiku ili usikilizie jirani zako wanafanya nini
9. Kupenda kuangalia sinema za X kila mara na kununua magazeti ili usome ujinga wa mastaa feki wa kibongo
10. Kutamani kujiingiza kwenye bongo movie ili upewe uroda na kina Wema Sepetu na wenzake
 
habari za usiku wanajf, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
• Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
• kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
• Kusahausahau,

• Kupendelea story za mapenzi,
• Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
• Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu),
• Kuumwa na kichwa,
• Kukakamaa mgongo (wanaume),
• Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
• Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
• Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
• Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k. chanzo.
https://www.jamiiforums.com/mahusia...ra-ya-kutofanya-tendo-la-ndoa-muda-mrefu.html
 
hili swala lako limekosa wataalamu, ni gumu
 
kadri unavyokaa sana ndio mbegu zinakomaa na kuwa kubwa kama punje ya mchele infact hakuna madhara, ila siku ya kwanza hakikisha unamasterbate kwa usalama wa partiner wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…