Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
Uamuzi wa CHADEMA kwamba wabunge wao watasikiliza hotuba ya rais wakati wanasema hawamtumbui unachanganya mambo. Kama rais hawamtambui hawana haja ya kumsikiliza bungeni. Sasa wakichangia hiyo hotuba watakuwa wanamnukuu kama nani?
Madhara yapo sana hasa kwa JK mwenyewe ndo maana hata wabunge wa CHADEMA walioko Dodoma wanatakiwa kutoka nje ya ukumbi wa bunge mara JK atakapoanza kuhutubia..tena ikiwezekana wachukue draft na karata wawe wanacheza kabisa muda wote wa hotuba yake..akimaliza basi warudi ndani au waende zao chako ni chako kula kuku..Hiyo itatuma salamu very clear kuwa JK hupendwi na umeiba kura kuwa rais
Pure puppet brought from hell I hate this guy
Mimi siamini kabisa katika huo mpango wa kumkimbia mdhulumu wao. kutoka nje maanake umkwepa m babe wako. kutoka nje ni ishara ya woga. JK atatanga baraza lake la mawaziri kuunda serikali, inamaana serikali dhalimu ikiwa bungeni basi wasusie bunge kwa ujumla wake? Physchological battle haiendi hivyo. CHADEMA wanatakiwa wafanye kile walichomfanyia PINDA, wakati wao wanashangilia CHADEMA piga kimya, kwenye kura mnamkataa. ile kitu imemuuma sana Pinda. maana anaelewa kwanini imekuwa hivyo. hawakumkataa Pinda kama Pinda bali wamkataa kama ishara ya kuikataa serikali dhalimu.
Hakuna kususia vikao vya bunge hata akija nani bungeni. cha kukataa ni kile atakachokileta huyo asiekubalika.
CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani wanatakiwa kuisikiliza kwa makini hiyo hotuba ya JK ana kutumia fursa ya wakati wa kuijibu fungua madukuduku yao yaliowakaa moyoni kuhusu uhalali wa JK na NEC yake.
CHADEMA lazima watumie vizuri zana chache walizo nao. hivi sasa wana zana kuu tatu:
1. Uongozi wa upinzani Bungeni. 2. Wabunge imara 3. Wananchi.
Iwapo watatumia hizo zana tatu kwa ustaha hakika watawafanya baya CCM A na B pamoja na serikali yao.
CHADEMA Mungu kawajalieni top management team zaidi 90% yote ipo bungeni tutawashangaa kama mkituangusha
Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA nifanye nini ili kuonyesha kwamba simtambui Rais?. Maana majuzi nilitaka nikatae kumpisha barabarani kwasababu na mimi simtambui kama ni rais wa Tanzania lakini roho yangu ilisita kidogo.

wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi tamko la dk slaa kwamba chadema haimtambui jk kama rais wa nchi lina madhara yeyote kwa ccm au serikali iliyopo madarakani? Na mimi kama mwana-chadema nifanye nini ili kuonyesha kwamba simtambui rais?. Maana majuzi nilitaka nikatae kumpisha barabarani kwasababu na mimi simtambui kama ni rais wa tanzania lakini roho yangu ilisita kidogo.