MADHARA YA KUTOWAPELEKA WATOTO KANISANI

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,789
Reaction score
10,388
MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU.
MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo!
Huu ni Mtihani Tuwapeleke Watoto KANISANI Wamjue MUNGU.
 
Hii ujengwa kuanzia kwa wazazi wakiwa wagumu kuingia kanisani hata mtoto itakuwa ngumu kumpeleka
 
He! Ila wewe nawe waonekana huyo mtoto ni wa lika moja maana hayo ni mambo ya kuwasimulia watoto wenzako we unatuletea huku,hapa si pahala pake labda wapelekee wenzako kule fb...
 
Mlee mtoto katika njia impasayo, naye hataiacha hata atakapokuwa mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…