Nipo Mbeya nitakupa vipi
Maana nimesoma humu hata sijapata mwafaka
2meenda clinic na beib wangu anaujauzito wa miez4 sasa
Tukapima HIV mie ikasoma negative yeye ikasoma positive na tangia mwaka Jana mwez wa 3 mpaka siku tunaenda kupima nilikuwa namla dry na mwaka Jana hiyo hiyo alipima ilikuwa fresh
Sasa najiuliza ni ujauzito unachangia majibu yasome vile au,
Mimi binafsi nilipo toka clinic nikamsoma Deception so nikamliwaza beib asitumie hayo mavidonge na jion kumfariji nikamtafuna dry tena nikajitoa muhanga
Ila bado nawaza aisee,UJAUZITO UNAWEZA SABABISHA UPUNGUFU WA KINGA MWILINI
WAMESEMA NIRUD NIKAPIME BAADA YA MUDA NA MIMI ILA SITADHUBUTU KWENDA
Uja uzito hauwezi kusababisha upungufu wa kinga.
Ugonjwa wa Ukimwi (HIV/AIDS)
Utafiti wa ugonjwa wa Ukimwi (HIV/AIDS) ; Tumefanya Utafiti huu toka mwaka 1991 hadi sasa tunaendelea nao
Dalili za ukimwi
MAMBO TULIYOGUNDUA
Upungufu wa kinga mwilini ambao husababisha maradhi mbalimbali kusongamana mwilini au magonjwa nyemelezi.
DALILI ZA UKIMWI (HIV/AIDS)
Malaria
Kuhara
Kifua kikuu
Magonjwa ya ngozi,
Mkanda wa jeshi,
Kubabuka midomo,
Kuchanganyikiwa kwa akili,
Kupoteza uzito
Kukosa hamu ya kula chakula,
Kusumbuliwa na maradhi ya miguu,
Nywele zinabadilika na kuwa dhaifu,
Vidonda vya koo,vidonda vya ulimi,
Damu inaganda mwilini na kuwa nzito,
Kukunjamana kwa ngozi,
Majipu ya mara kwa mara ,
Kushambuliwa na vidonda sehemu za siri,
Kizunguzungu kila wakati
Baridi ya kila wakati
Hizo ni dalili za UKIMWI.
JE UKIMWI UNAWEZA KUAMBUKIZWA KWA NJIA YA KUFANYA MAPENZI BILA YA KINGA?
JIBU::
Virus vinaishi kwenye damu. Watu wamejaribu kupambanua njia tofauti tofauti za maambukzi. Ila njia ni moja tu. Kukiwa na muingiliano wa damu kati ya muathirika na asiye athirika.
Kwa wanawake ni rahisi sana kuambukizwa kutokana na jinsi maumbile yao yalivyo. Katika uke wa mwanamke kuna chembe chembe nyeupe za damu nyingi hususni wa kati wa tendo husika. Na tunajua
HIV huwa vinaishi ndani ya
WBC.
Ishu za manii ama orgasm fluids zinapotoka huwa hazina uhalisia wa moja kwa moja wa kuwa na
VVU.
Ushauri wangu:::
Ikiwa Mke wako hana vidonda au michubuko ya ngozi yenye kutoa damu sehemu zake za siri ukifanya nae mapenzi hauwezi kupatwa na huo Ukimwi. Lakini ikiwa Mke wako ana vidonda na michubuko yenye kutoa damu sehemu zake za siri ukifanya nae mapenzi unaweza kupatwa na huo ukimwi. Kuwa Muangalifu sana wakati unapofanya nae Mapenzi.
Hatua za Ugonjwa wa VVU/UKIMWI (HIV/AIDS stages)
Ugonjwa wa HIV/AIDS umekuwa janga kubwa sana duniani kwa sasa kutokana kuathiri watu wengi na kukosekana kwa tiba ya ugonjwa huu. Maambukizi ya ugonjwa wa
HIV/AIDS hufahamika kama maambukizi y
a VVU (Virusi vya Ukimwi). Mtu anapopata magonjwa nyemelezi
(opportunistic infections) ndiyo huwa tunasema mtu amepata ugonjwa wa
UKIMWI au AIDS.
Makala hii ni majibu ya swali la msomaji wetu mmoja aliyetaka kufahamu hatua
za ugonjwa wa
VVU/UKIMWI aliyesema “Ningependa kujua siteji 1-4 za
vvu ukimwi na dalili zake zote”. Swali ambalo liliniweka kwenye wakati mgumu sana kwani hatua za ugonjwa huu zinajumuisha magonjwa mbalimbali ambayo mengine ni vigumu sana kuyaelezea kwa lugha yetu ya kiswahili. Natumai kwa kupitia makala hii tutakuwa tumetoa mwanga kidogo wa hatua za ugonjwa wa
VVU.
Je ni kuna hatua ngapi za ugonjwa wa
VVU/UKIMWI na dalili zake ni zipi?
Kwa mujibu wa uanishaji uliofanywa na wataalamu wa shirika la Afya Duniani yaani
WHO, kuna hatua
(stages) kuu nne za ugonjwa wa
VVU/UKIMWI ambazo ni:
1. Hatua ya kwanza [Primary HIV Infection]
Hatua hii huwa kwa muda wa wiki nne
. Ni asilimia 20 tu ya watu wenye maambukizi
ya VVU walio kwenye hatua hii ambao hupata dalili na viashiria vikali vya ugonjwa huu lakini mara nyingi madaktari hushindwa kutambua kama mgonjwa amepata maambukizi y
a VVU kutokana na dalili na viashiria vyake hapa kufanana sana na dalili za magonjwa mengine
. Mgonjwa aliye katika hatua hii ya kwanza ya maambukizi ya
VVU huweza kuonesha dalili na viashiria kama vile
kuvimba tezi (swollen lymph glands), kupatwa na homa kali, kuumwa koo (sore throat), kujihisi mchovu, kujihisi maumivu sehemu mbalimbali mwilini
(body aches), kutokwa na vipele mwilini
(skin rash), na pia kutapika, kuharisha au kuumwa tumbo
Mgonjwa anayepata dalili na viashiria hivi tunasema kwamba amepata
“Acute HIV infection/Acute HIV retroviral infection au seroconversion illness.” Dalili hizi hutokana na mwili wa mtu mwenye maambukizi ya
VVU kuanza kutengeneza kinga dhidhi ya VVU.
Hatua ya Pili (Clinically Asymptomatic Stage)
Katika hatua hii ambayo inaweza kudumu kwa muda wa miaka kumi, mgonjwa anakuwa haonyeshi dalili/viashiria vyovyote vile isipokuwa anaweza kuwa na tezi
zilizovimba [swollen lymph nodes]. Kiwango cha VVU kwenye damu
husana lakini mgonjwa anaweza kuambukiza mtu mwingine yoyote na vipimo vya
pungua VVU vina uwezo wa kutambua uwepo wa maambukizi ya
VVU katika damu.
Tafiti mablimbali zimeonesha kwamba
VVU katika mwili huwa bado zinazaliana
[active] na hukimbilia/hujificha kwenye tezi
[lymph nodes]. Kutokana na kujificha kwake katika hatua hii, kipimo cha kupima wingi wa virusi vya
ukimwi (Viral load test) katika mwili hutumiwa sana ili kuweza kutambua uwepo wa
VVU. Kipimo hiki pia husaidia katika kumpangia mgonjwa tiba yake.
Hatua ya Tatu [Symptomatic HIV infection]
Kutokana na kuongezeka kwa wingi wa
VVU katika mwili, kinga ya mwili huzidi kudhoofika na hii husababishwa na;
• Tezi na tishu zilizoathiriwa
na VVU huharibika kutokana na maambukizi ya muda mrefu
• VVU hubadilika badilika na kuwa na uwezo zaidi wa kuathiri tishu na sehemu mbalimbali za mwili na hata kuziua/kuziharibu seli zinazokinga mwili kutokana na maambukizi zinazojulikana kam
a T helper cell
• Mwili hushindwa kumudu uharibifu wa
T helper cell na kushindwa kuzalisha seli nyingine mpya.
Dawa za kuvubaisha VVU au Antiretroviral therapy huanza kutumiwa wakati seli aina ya CD4 zinapopungua na kuwa kiwango cha chini sana. Kupungua kwa seli hizi za
CD4 ni kielelezo cha kinga ya mwili kuwa dhaifu. Matumizi ya dawa hizi huboresha kinga ya mwili na kumfanya mgonjwa kuishi kwa muda mrefu bila kuonyesha dalili au viashiria vyovyote vile [yaani kumrudisha mgonjwa katika hatua ya pili].
Kama mgonjwa wa VVU hatumii dawa za kuvubaisha VVU au anatumia ARV's ambazo hazimsaidii au hazifanyi kazi vizuri mwilini mwake, basi mgonjwa ataendelea kuingia kwenye hatua ya nne ya Ukosefu wa Kinga Mwilini
(Ukimwi) au AIDS.
Hatua ya Nne [UKIMWI]
Kama nilivyoeleza hapo juu, hatua hii hujulikana kama Ukosefu wa Kinga Mwilini [UKIMWI] au AIDS, ambapo mgonjwa hupata maambukizi ya magonjwa nyemelezi pamoja na
saratani za aina mbalimbali kutokana na kupungua kwa
kinga mwilini.
Vigezo vilivyopangwa na shirika la afya duniani (WHO) ili kuweza kutambua kama mgonjwa yupo kwenye hatua hii ya
UKIMWI hutofautiana kati ya watu wakubwa na
watoto chini ya miaka
5. Pamoja na kuwa WHO wameweka vigezo vya pamoja, utambuzi wa hatua za ugonjwa wa
UKIMWI hutofautiana kati ya nchi na nchi kutokana na miongozo tofauti ya nchi hizo.
Kwa watu wazima na watoto walio na umri zaidi ya miaka mitano, uwepo wa ugonjwa wowote nyemelezi pamoja na kushuka kiwango cha
CD4 chini ya 200 cells/mm3 au kushuka kwa seli za CD4 chini ya asilimia 15 hutambulika kama ugonjwa wa
UKIMWI.
Kwa watoto walio chini ya miaka mitano, uwepo wa ugonjwa wowote nyemelezi/kushuka kwa
seli za CD4 chini ya asilimia 20 [kwa wale wenye umri kati ya miezi 12-35] hutambulika kama wana ugonjwa wa
UKIMWI.
Watoto wenye umri chini ya miezi
12, kupungua kwa seli za
CD4 chini ya asilimia
25 ndiyo hutumika kutambulisha wana ugonjwa wa
UKIMWI.
CD4 ni nini?
CD4 ni aina ya protini inayopatikana katika ukuta wa seli zinazojulikana kama
T helper cell [pia hujulikana kama
CD + lymphocyte]. VVU hushambulia na kujishikiza kwenye protini hii kabla ya kupata uwezo wa kuathiri seli za
T helper cell. Seli hizi za
T helper cell ndizo hulinda mwili dhidi ya maambukizi mbalimbali na hivyo kuchangia katika kustawi kwa kinga ya mwili. Kupungua kwa seli hizi mwilini husababisha kupungua kwa kinga ya mwili na hivyo mtu kupata magonjwa mbalimbali.
Magonjwa nyemelezi/saratani (opportunistic infections/cancer)
Baadhi ya magonjwa nyemelezi yanayoweza kumpata mtu mwenye ugonjwa
VVU/UKIMWI ni pamoja na
a. Magonjwa ya mfumo wa kupumua kama vileugonjwa wa homa ya mapafu
(pneumocyctic carinii pneumonia), Kifua kikuu (TB) na Kaposi’s sarcoma
(saratani);
b. Magonjwa ya mfumo wa chakula kama vile
Cryptosporidiosis, Candida (fangasi), Cytomegolavirus (CMV), Isosporiasis, na Kaposi's Sarcoma
c. Magonjwa ya mfumo wa fahamu
(Central/peripheral nervous system) kama vile
Cytomegolavirus, Toxoplasmosis, Cryptococcosis, Non Hodgkin's lymphoma (saratani), Varicella Zoster (mkanda wa jeshi), Herpes simplex
d. Magonjwa mbalimbali ya ngozi
[skin diseases] kama vile
Herpes simplex, Kaposi's sarcoma (
saratani ya ngozi) na
Varicella Zoster [mkanda wa jeshi]
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya
pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.
Mzizi Mkavu