Kumbe kuna madhara?
Ngoja waje watuelimishe.
Mimi hutumia kama dawa hiyo mixer, natwanga punje kadhaa za vitunguu swaumu natia asali naichanganya naiacha masaa mawili na kuendelea Kisha naiweka kinywani navuta mate nameza, alooo kama Nina mafua ama kifua kinaishaaaaa ila inaumaaaa na ninaisikia inavyosambaa mwili mzima