Jf doctors naombeni msaada wenu juu ya madhara yatokanayo na kutumia sabuni mara nyingi kusafisha sehemu za siri(uke). Binafsi huwa nafanya hivyo ila kuna mahali wadada walikuwa wanaongea kuwa ina madhara though hawakufafanua zaidi. Mwenye uelewa please