Madhara Ya Kuvaa "Boxer" Au "Chupi" Kwa Wanaume

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,097
Jamani Tafiti Zinaonyesha Kuwa Kuvaa Boxer Au Chupi Kwa Wanaume Kuna Madhara Sana. nguo izo kwa sbb zinabana na penis inapocmama inashindwa kucmama vzr ivyo kufanya mishipa yake ambayo ni laini sana kujikunja hali inayoweza kupelekea hata kushindwa kusababisha ujauzito. tunashauriwa kuvaa kama ni boxer yenye nafasi au kaptula.
chanzo: ufunuo wangu...
 
mkuu nguo za ndani tumeanza kuvaa toka utotoni mpka sasa..na wengine wana watt wa kutosha kabisa..unasemaje hapo??
 
sawa hata kama tangu utoto, kwani chumvi tumeanza kula lini ikiwa leo wanasema sio nzr? au mafuta yetu ya KORIE lkn leo na madokta wanasema et bora alizeti. mkuu kama chupi inabana sana inabana pia mishipa ya uume pale inaposimama, ambayo ni laini sana, alafu kuleta fangasi kwa mvundo wa joto na kukosa hewa. ushauri chupi tuwaachie hao wadada
 
kwa wale wenye ndefu inasababisha ulemavu

utakuta ikisimama unailazimisha kuipinda na kuibana na boxer hatimae unakuwa na kilema
 
mkuu unataka tuwe hatuvai kam ww
 
Ukweli ndo huo ulioxemwa tatizo cc waafrika wabishi xana acheni upishi.
 
Chupi wala boxer tusivae kabisa,yani suruali tu au kaptula tu basi we unadhani kwa nn mmasai akipita na demu wako ndo kwaheri???
 
Masai kitu imenyooka vizuri sio kama za wale wavaa ch.....p unakuta imepinda kushoto
 
sawa hata kama tangu utoto, kwani chumvi tumeanza kula lini ikiwa leo wanasema sio nzr? au mafuta yetu ya KORIE lkn leo na madokta wanasema et bora alizeti. mkuu kama chupi inabana sana inabana pia mishipa ya uume pale inaposimama, ambayo ni laini sana, alafu kuleta fangasi kwa mvundo wa joto na kukosa hewa. ushauri chupi tuwaachie hao wadada

Mkuu moja ya sababu ya kuvaa nguo za ndani kwa mwanaume ni kumsitiri..hata ikitokea mashine imesimama mbele za watu chupi inakufichia aibu..kuna watu wana hisia kali..wakiona sehemu ndogo tu ya mwanamke kitu kinaenda hewani..sasa hao uwaambie wasivae kufuri ili kuiruhusu ndude isimame vizuri si itakuwa tafrani sasa mtaani...hilo swala la chumvi na mafuta ni kitu kingine..vyakula vinaweza kuwa na madhara kutokana na njia ya utaarishaji au source ya sehemu kinapopatikana....Ninachokiona mm ni kuwa kwa sasa kuna wimbi kubwa la waanga wa nguvu za kiume ili tatizo ndo linalosababisha kila mtu Aje na theory yake..ila theory nyingine naona hazina uzito....hata hao wadada unaosema ndo tuwaachie hizo chupi,wengi nao siku hizi hawavai..wengine wanakwambia zinaleta kansa..wakati kuna watu wanavaa hadi kuzeeka na hiyo kansa hawaipati...by the way..fanya kile unachoamini..kama unaamini katika hilo basi kiroho safi acha kuvaa..
 
Na zipu hizi za kichina utashangaa imetokea kabisa mbele.
 
Back
Top Bottom