Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
mkuu nguo za ndani tumeanza kuvaa toka utotoni mpka sasa..na wengine wana watt wa kutosha kabisa..unasemaje hapo??
mkuu nguo za ndani tumeanza kuvaa toka utotoni mpka sasa..na wengine wana watt wa kutosha kabisa..unasemaje hapo??
Chupi wala boxer tusivae kabisa,yani suruali tu au kaptula tu basi we unadhani kwa nn mmasai akipita na demu wako ndo kwaheri???
sawa hata kama tangu utoto, kwani chumvi tumeanza kula lini ikiwa leo wanasema sio nzr? au mafuta yetu ya KORIE lkn leo na madokta wanasema et bora alizeti. mkuu kama chupi inabana sana inabana pia mishipa ya uume pale inaposimama, ambayo ni laini sana, alafu kuleta fangasi kwa mvundo wa joto na kukosa hewa. ushauri chupi tuwaachie hao wadada
Mkuu moja ya sababu ya kuvaa nguo za ndani kwa mwanaume ni kumsitiri..hata ikitokea mashine imesimama mbele za watu chupi inakufichia aibu..kuna watu wana hisia kali..wakiona sehemu ndogo tu ya mwanamke kitu kinaenda hewani..sasa hao uwaambie wasivae kufuri ili kuiruhusu ndude isimame vizuri si itakuwa tafrani sasa mtaani...hilo swala la chumvi na mafuta ni kitu kingine..vyakula vinaweza kuwa na madhara kutokana na njia ya utaarishaji au source ya sehemu kinapopatikana....Ninachokiona mm ni kuwa kwa sasa kuna wimbi kubwa la waanga wa nguvu za kiume ili tatizo ndo linalosababisha kila mtu Aje na theory yake..ila theory nyingine naona hazina uzito....hata hao wadada unaosema ndo tuwaachie hizo chupi,wengi nao siku hizi hawavai..wengine wanakwambia zinaleta kansa..wakati kuna watu wanavaa hadi kuzeeka na hiyo kansa hawaipati...by the way..fanya kile unachoamini..kama unaamini katika hilo basi kiroho safi acha kuvaa..
Na zipu hizi za kichina utashangaa imetokea kabisa mbele.
Napinga uvaaji wa Chupi kwa jinsia zote. .Mimi ntakuwa mfano
Huwa hauvai au ndo unataka kuanza kutokuvaa??